Vanessa auza nakala 750 za CD ya Money Mondays

Mkuu Copies 750 chache sana,tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa,anatakiwa awe na team yake kubwa,PR/Marketing/Promo kuPush Mauzo.
 
Album zao hazina ubora ndomana hazinunuliki,..waimba gospel wabongo kina mwaitege.rose muhando wanauza mara 100 ya hizo.sabab ya ubora wa album...nyimbo ni za kawaida saana tatzo,mtu ananunua kusapot tuu lakin sio kwamba anapeenda kiviile nyimbo hzo za mdee.ndomana mauzo yanakua hafif..sjaona bado mwanamuzik wa album bongo,labda diamond angalau ana nyimbo nying kali,wengne nyimbo kal ni za kubahatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…