Vanessa Mdee a.k.a V-Money: ijue historia yake, maisha yake, familia ya kishua aliyozaliwa

Vanessa Mdee a.k.a V-Money: ijue historia yake, maisha yake, familia ya kishua aliyozaliwa

Asante sana mleta uzi. Unakipaji kizuri sana cha uandishi na kuwa na flow nzuri isiyochosha. Hili andiko refu sana ila huwezi amini nimeliona fupi na nilikuwa tayari kuendelea kusoma hata kama lingekuwa na urefu mara tatu zaidi ya hapo ulivyoandika sababu ya uandishi wako mzuri sana.

Tukirejea katika story yetu , dah aisee inasikitisha sana aisee. Kuondokewa na baba especially mwenye upendo na familia yake huwa inakuwa ni zaidi ya pigo.

Familia husambaratika kiroho. Ila naona MUNGU amewapigania sana watoto wa mzee huyu. Walimhitaji sana baba yao kuliko walivyodhani. Ila yote ni sehemu ya maisha and wacha tu yaendelee.

Jambo jingine Vanessa anatakiwa kumshukuru sana MUNGU ni kupita kipindi hiki cha msongo wa mawazo bila kuingia katika madawa ya kulevya kama akina Ray C na Chidibenzi. Ukiingia huko hutoki kirahisi na pengine ukapotea kabisa. Kwahilo amshukuru sana MUNGU kwa ulinzi.

Kuhusu Vanessa na Jux, nadhani Jux hakumsoma Vanessa vizuri. Kuna watu sio wepesi kuonyesha wanachopitia sababu muda wote wanatabasamu na kucheka as if wanafuraha toka moyoni kumbe wanakwepesha watu wasiwafuatilie background zao. Vanessa ni aina hiyo ya mabinti ambao hawajionyeshi.

Nadhani Vanessa kuendana na Rottimi ni matokeo ya kumuamini na kukubali kusurrender kwake na kukubali amuongoze. Dakika za kwanza za mahusiano ndipo mwanamke hutaka kujua hatima ya maisha yake kwenye mikono yako kama mwanaume. Akiona kama ni mtu ambaye haumpi direction itakuwa ngumu sana kusettle kwako na kukuamini kuwa nae. So inaonekana Rottimi alicheza kadi zake vema na dakika za mwanzo alishamsoma na kuchukua hatua na kumpa muongozo mtoto Vanessa kiasi kwamba akakubali. Na nadhani unafahamu namna wanawake wafupi wa kipare walivyokuwa wabishi.

Anyways, MUNGU amuangazie na kumpa rehema zote na mafanikio katika mahusiano haya mapya na ajenge familia bora na shemejiiiiiiiiiiiiiiii yetu Rottimi.
 
Nimefurahi kwa andiko hili, yaan hata ingekua kurasa 70, ningesoma yote.

Oooohhhhpppsss Jah amtunze mama buttah. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kwa kweli kama baba alikuwa close na nyinyi/he was a family man, akiondoka inakuwa ngumu sana ku accept.

Its a good thing that you fought your battles Vanessa and you won!

Rotimi is also a good, responsible man.,

Thank you for sharing your experiences.

At least, ume create awareness these (mental health problems) are real/do exist.

All the best Vee in your comming Wedding.
 
Hongera mkuu

Ila pia wakati Vanessa anaingia kwenye muziki alikuwa ni moja ya best Event Mc maana alihost BSS na dume challenge..
Kiufupi naamini Vee money asingeingia kwenye muziki ndio angerithi kiti cha Jokate kwenye U_MC maana hadi sasa pengo lake halijazibika

Kuna Issue ya Kuigiza MTV series SHUGA South Africa naona hujaigusia pia,

Kuanza muziki kama rapper, kuna rumours pia wimbo wa AY wa bread and breakfast kuna sauti ya kike inasemekana ni yake

Ugomvi wake na Hammy B baada ya kujitoa chini ya recording label yake na kuanza kwenda kama solo artist..

Uhusiano wake na Dimpaz via Me and You uliompa pia mileage kubwa kwa Bongo flava

Vee ana vitu vingi tatizo lakini naelewa umeegemea kwenye tatizo lake la depression which is also good
 
Dimpoz na Vee hawakuwahi kuwa wapenziii, walitoa tyuuh ile hit, hawakuwahi date.
 
I feel kama Marioo na Mim mars was match made in sky. Their attribute compliment each other so perfect, embu cheki Marioo mtoto wa mtaan kutoka kwenye lifee ngumu hadi sio poa kuwa na mtoto ww kishua Mims mar, it was so perfect, it shame kama hawapo pamoja, hawatarudiana
 
Nimejifunza kwamba sisi wababa tuwe tuna simulate maisha ya endapo hatupo duniani familia inaweza ku exist namna gani? tusiwe one man show.

Jaribu kuwafanya watoto na mama yao kuwa jasiri, tumia muda kuongea nao if your not there what you expect them to do, behave etc... !! inasaidia sana hasa hivi vifo vya ghafla.

Watoto hata mama yao watakuwa wanasema.. "hata baba alisema wakati wa uhai wake....."
Kuna wababa wanataka heshima nyumbani kwamba wao ndio kilakitu
 
Back
Top Bottom