Vanessa Mdee a.k.a V-Money: ijue historia yake, maisha yake, familia ya kishua aliyozaliwa

Umeelezea vizuri
Hongera sana
Pole na hongera kwa vee money [emoji383]
 
Watalaam wetu wa afya hapa bongo hasa hasa ukiwa na presha wanatumaliza sana.

Tundu limemtoa mtoto
 
Baada ya kutikisa taya akaomba namba.


Wadada msibanie namba..mtapishana na magari ya mshahara[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hio huko pote ulipotoa hio story umeshindwa pata picha ya mzee mdee na mke wake ..ili kunogesha uzi ulipaswa week picha ya mzee wakati ukimuelezea mzee ..pia Kati Kati ya thread uweke picha ya jux na Vanessa pia baada ya maneno kadhaa kwa rotimi pia uweke ...

Kama ulivosema tz hatuna elimu ya misongo pia na wewe elimu ya uandishi hauna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…