Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

Wameachana Mara ya pili tena? Maana issue ya kuachana ililetwa humu miezi mitatu iliyopita au warirudiana hapo kati kati wakaachana tena jana?
 
Fresh bora Jux atajipatia demu wa hadhi yake maana yule Vanessa anapenda sana kujibadili badili
 
Jux alizidi ushamba

Kila vinyimbo vyake anamuimba yy kama sio ulimbukeni
 
Back
Top Bottom