Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

Videmu VYEMBAMBA havinaga MAPENZI ya kweli....

Ndio maana vingi ni VI**L*Y*...
 
Wameachana Mara ya pili tena? Maana issue ya kuachana ililetwa humu miezi mitatu iliyopita au warirudiana hapo kati kati wakaachana tena jana?
 
Fresh bora Jux atajipatia demu wa hadhi yake maana yule Vanessa anapenda sana kujibadili badili
 
Jux alizidi ushamba

Kila vinyimbo vyake anamuimba yy kama sio ulimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…