Vanessa Mdee aachia nyimbo mpya - Cash Madame

Vanessa Mdee aachia nyimbo mpya - Cash Madame

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Vanessa mdee a.k.a vee money kama anajiita ameachia nyimbo mpya ya kufungia mwaka.
Nyimbo inaitwa cash madame
Nyimbo hii inahamasisha wadada kujitafitia mkwanjwa wao wenyewe sio kutegemea ma suger daddy au sponser
 
Hii ngoma inasound jamaica kama ile ya tiwa savage BAD
 
Back
Top Bottom