brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
NdioUna uhakika
Kuwa atashinda grammyNdio
Kwa mujibu wa yeye mwenyewe ndio aliyesemaKuwa atashinda grammy
Kwa nini?? Warumi yupo juu sana si mfikii hata theluthimkuu mtanashati naona mnachuana na mwenzio warumi sasa bora mfungue blog yenu ya gosip huenda ikawalipa kuliko kutuwekea tu hapa bure bure
ila sikuiz kasi yake imepungua sana si kama zamaniKwa nini?? Warumi yupo juu sana si mfikii hata theluthi
Katingwa ukiona hivyo ila yupo juu sana akifatiwa na nifahila sikuiz kasi yake imepungua sana si kama zamani
poa poa ila ni mojawapo ya mbinu za kiuandishiAdondosha collable, iko wapi? Kama vipi pumzika kidogo mkuu, sio lazima kila baada ya nusu saa uanzishe thread nyingine.
Bado ipo jikoni kwanzaNilivyo soma title nikajua ngoma teyari kumbe mambo bado kabisa!
Adondosha collable yake na Trey Song, iko wapi? Kama vipi pumzika kidogo mkuu, sio lazima kila baada ya nusu saa uanzishe thread nyingine.
Hahahamkuu mtanashati naona mnachuana na mwenzio warumi sasa bora mfungue blog yenu ya gosip huenda ikawalipa kuliko kutuwekea tu hapa bure bure
Haa ah ha aa hah,usinipe hizo bhana mkuuHahaha
Wakijipanga hawa jamaa wata make kweli kweli
Hamna kaka unaweza we si ndo maana unaona nyuzi zina tembea kama hivi.Haa ah ha aa hah,usinipe hizo bhana mkuu