brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Mwanadada Vanessa mdee au V money anatarajia kufanya kolabo na msanii kutoka marekani Trey Song
V money amejigamba kuwa kolabo yake hiyo bila shaka itasababisha atimize ndoto zake za kushinda tuzo za Grammy
V money amejigamba kuwa kolabo yake hiyo bila shaka itasababisha atimize ndoto zake za kushinda tuzo za Grammy