Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

karibu Dar hawajambo Namanyele?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uwiiii at least nimeianza asubuhi yangu sawia
 
Vanessa Yupo Vema Maana Ile Ni Moja Unaibeba Kwenye Majambozi.
 
Hata me leo nikiwa na mwanamke maarufu ntapata bonge la platform na funbase ya nguvu eboo
Mbona mimi ninae na sijapata hiyo platform unayoisemea?Juma jux kafika pale yeye km yeye na sio sababu ya Vanessa, am not sure but i can say hawa wawili wamekutana baada ya wote kuanza kusikika,i can bet on this though i stand to be corrected so far
 
Aaaa Kaka uko vizur ndio jux ame fight sikatai but kuwa na Vanessa kunamuongezea zaid sasa nawe uko na wa Kishua basi hujui kumtumia
 
Aaaa Kaka uko vizur ndio jux ame fight sikatai but kuwa na Vanessa kunamuongezea zaid sasa nawe uko na wa Kishua basi hujui kumtumia
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe mkuu,mimi napambana km mimi japo sikatai tangu nianze kuishi nae kuna kitu kimeongezeka kwenye maisha yng
 
haka kademu nikazur, sema hamjui tu utamu wa tuumbo kama uto wakuu.
 
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe mkuu,mimi napambana km mimi japo sikatai tangu nianze kuishi nae kuna kitu kimeongezeka kwenye maisha yng
Enhe Kaka nambie sikatai me kuna bint wa Kishua ni Rafik Yangu amenisaidia kupata Tempo yani
 
Vee money.... namwelewa sana na nyimbo zake.. anajitambua na bila shaka atafika mbali
 
Sawa, lakini sasa anatakiwa ale ugali wa kutosha wakati wa kucheza awe anatingisha body badala ya kutingisha mifupa. Ni ushauri tu.
Ungependa wale wasoma habari wa TBC wacheze show?
 
Back
Top Bottom