beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Yaani wabongo hawana jemaMifupa akitingisha Rihanna mnakenua mimeno, Vannesa inakuwa nongwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uwiiii at least nimeianza asubuhi yangu sawiakaribu Dar hawajambo Namanyele?
Una uhakika gani na unachokisema?anyway mdomo nyumba ya manenoJux pale anamtumia Vanessa as a Plat form Tu ya mashabik Ku date na dem wa Kishua Lol halafu awe Tomboy
Hata me leo nikiwa na mwanamke maarufu ntapata bonge la platform na funbase ya nguvu ebooUna uhakika gani na unachokisema?anyway mdomo nyumba ya maneno
Mbona mimi ninae na sijapata hiyo platform unayoisemea?Juma jux kafika pale yeye km yeye na sio sababu ya Vanessa, am not sure but i can say hawa wawili wamekutana baada ya wote kuanza kusikika,i can bet on this though i stand to be corrected so farHata me leo nikiwa na mwanamke maarufu ntapata bonge la platform na funbase ya nguvu eboo
Aaaa Kaka uko vizur ndio jux ame fight sikatai but kuwa na Vanessa kunamuongezea zaid sasa nawe uko na wa Kishua basi hujui kumtumiaMbona mimi ninae na sijapata hiyo platform unayoisemea?Juma jux kafika pale yeye km yeye na sio sababu ya Vanessa, am not sure but i can say hawa wawili wamekutana baada ya wote kuanza kusikika,i can bet on this though i stand to be corrected so far
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe mkuu,mimi napambana km mimi japo sikatai tangu nianze kuishi nae kuna kitu kimeongezeka kwenye maisha yngAaaa Kaka uko vizur ndio jux ame fight sikatai but kuwa na Vanessa kunamuongezea zaid sasa nawe uko na wa Kishua basi hujui kumtumia
Enhe Kaka nambie sikatai me kuna bint wa Kishua ni Rafik Yangu amenisaidia kupata Tempo yaniKwa kiasi fulani nakubaliana na wewe mkuu,mimi napambana km mimi japo sikatai tangu nianze kuishi nae kuna kitu kimeongezeka kwenye maisha yng
Naam shekhe! Sie hatupendi wembamba![emoji2].....zetu miss bantu!Halafu kuna watu wanakwambia ana mvuto..pale ndio wameoza!..
Sie wengine wakina sheikh Kipozeo labda itokee tu.
Harare Sana sheikhHalafu kuna watu wanakwambia ana mvuto..pale ndio wameoza!..
Sie wengine wakina sheikh Kipozeo labda itokee tu.
Ungependa wale wasoma habari wa TBC wacheze show?Sawa, lakini sasa anatakiwa ale ugali wa kutosha wakati wa kucheza awe anatingisha body badala ya kutingisha mifupa. Ni ushauri tu.
Ungependa wale wasoma habari wa TBC wacheze show?