Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mkuu,,punguza ukali wa maneno pulizi[emoji87] [emoji87]Haka nako kapunguze nyodo, nikikaona huwa nakafananisha na katuni za Kipanya maana anafanana nazo sana.
humjui tu vizuri, she is a charming woman, yupo poa sana au kuongea english ndo kuringa? kazaliwa france kakulia marekani kiingereza sio issue kubwa kwakeHaka nako kapunguze nyodo, nikikaona huwa nakafananisha na katuni za Kipanya maana anafanana nazo sana.
Aliyesema anaongea English nani, acha umalaya wa kudandia mambo usiyoyaelewa.humjui tu vizuri, she is a charming woman, yupo poa sana au kuongea english ndo kuringa? kazaliwa france kakulia marekani kiingereza sio issue kubwa kwake