Vanessa Mdee aimba Kihindi...

Vanessa Mdee aimba Kihindi...

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Mdogowangu Vanessa umeamua kutoka Kihindi zaidi

Lakini sa huu wimbo hatuuelewi jamaa
Hatujui umesifia au umetutukana

Either way it's a slow nice song

Sa kwa wale tuliozoea kugegedwa kwa miziki sijui huu nitavutiaje hisia. ..kiru!

Mpare Tisha sana

 
Naona balozi ametekeleza agizo la Rais la kutaka kila balozi aoneshe alicho kifanya kwa kipindi cha miezi sita,tutegemee kuona wimbo kwenye channel ya b4u music na zee music...

Serikali pia ipeleke matangazo ya utalii kule BBC WORLD SERVICE.
 
Back
Top Bottom