Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #41
asante kwa taarifaHuyo Bi dada ni moja ya waimbaji wakike ninaowakubali
hahahahaha uuuwi me ndo maana nakupendaga mdogowangu!Aliyesema anaongea English nani, acha umalaya wa kudandia mambo usiyoyaelewa.
wale wazawa Anti yanguHatuwajui kvp wakati kila siku twawaona posta, k/koo nk?
Yani Mume wangu anajuaga kunipatia sanaNa kwa Avarter yako inaonekana husumbui.Wimbo ukianza tu......[emoji1]
Na utakuwa una***éd*a kwelilweli(in somebody's voice)
Mwambie Mwenyewe me sina mazoea naeheeee kumbe ni mpare mwenzangu.
mwambie nampa h
hatareeAmenikumbusha G Scana na Demu wake wa Kihindi.
TUTAIMBA MPAKA KICHINA SASAPesa ngumu,inatafutwa.
Mim siyo anti...wale wazawa Anti yangu
wahindi wanaishia Kenya tu
sawa ankoMim siyo anti...
Wazawa na wa huku wana tofauti ipi?
Umeashawahi fika mikumi au Serengeti uhesabu ni wahindi wangapi wanaenda kutalii?Hatuwajui kvp wakati kila siku twawaona posta, k/koo nk?
Ha ha ha haTUTAIMBA MPAKA KICHINA SASA
WE SUBIRI TU
SA SIJUI NANI ATAPEWA MAKALI YA KUIMBA KICHINA?!
AHAHAHAHAHHA
NA NGUO ALOVAA SIJUI YA KISAMBAA IYO AU YA KISUKUMA
UUUWI
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haka nako kapunguze nyodo, nikikaona huwa nakafananisha na katuni za Kipanya maana anafanana nazo sana.
Hahahahha woyoooo mpe makavu tuuu huyo amezoea movement za Makonda Mbuga za wanyama mpaka wamchangie Kamati ya harusi akiwowa au kuwolewaUmeashawahi fika mikumi au Serengeti uhesabu ni wahindi wangapi wanaenda kutalii?
Bora ucheke maana ni vituko tupuHa ha ha ha
Kumfanya mtu awe 'attention' kukutazama wewe huku ukinengua sio mchezo;inabidi ubunifu wa kila aina utumikeBora ucheke maana ni vituko tupu
Hapo kalipwa hela ndogo kufanya promoKumfanya mtu awe 'attention' kukutazama wewe huku ukinengua sio mchezo;inabidi ubunifu wa kila aina utumike
ha ha ha watu wanawekeza kidogo wapate kikubwaHapo kalipwa hela ndogo kufanya promo
aliemwambia aimbe huo wimbo angemvalisha basi hata kihindi jamaa
Ayaha ha ha watu wanawekeza kidogo wapate kikubwa
Kemcho am dabati balabalacheeeeeee!!!
Hahahaha we unaongea kihindi au Kitamil? !Zindeg dunia, chomhe haraaaaaaam zade?