Vanessa Mdee aimba Kihindi...

Vanessa Mdee aimba Kihindi...

Na kwa Avarter yako inaonekana husumbui.Wimbo ukianza tu......[emoji1]

Na utakuwa una***éd*a kwelilweli(in somebody's voice)
Yani Mume wangu anajuaga kunipatia sana
ananipaga show za kihuni hataree
Mziki ukiisha tushafungana 2-2
 
Umeashawahi fika mikumi au Serengeti uhesabu ni wahindi wangapi wanaenda kutalii?
Hahahahha woyoooo mpe makavu tuuu huyo amezoea movement za Makonda Mbuga za wanyama mpaka wamchangie Kamati ya harusi akiwowa au kuwolewa
 
Kumfanya mtu awe 'attention' kukutazama wewe huku ukinengua sio mchezo;inabidi ubunifu wa kila aina utumike
Hapo kalipwa hela ndogo kufanya promo
aliemwambia aimbe huo wimbo angemvalisha basi hata kihindi jamaa
 
Back
Top Bottom