Vanessa Mdee ajifungua, apewa jina la kichifu la Kipare na Igbo

Imgekua Bongo ungesikia jina la mtoto ni Joseph, Christopher Columbus, Johnson, Patrick, Silvester, Michael nk kwamba haya ndio majina yenye baraka, majina yaliyobarikiwa, majina yenye upako lakini majina ya babu zao kama massawe, mwita, wambura, maduhu, masunga, mayala, Ngonyani, nk hayo yana laana, machafu, yataletea mtoto mikosi, laana.

Dini zimepumbaza sana watu.
 
Jux Ni Mkia Wa Simbirisi Hauna Msaada Atabaki Kulialia Tu Badala Afanye Yake
Mzee watu wanacheza na fursa, binafsi sikua namjua JUX na wala sijawahi kua shabiki wake and in fact hata nyimbo yake 1 sikua naijua na nina uhakika hata yeye anajua kama hana mashabiki wengi kiviile, baada ya Mdee kupata mimba jamaa akaiona fursa ya kupigia pesa na kweli akapiga, katunga wimbo kauweka youtube na watu wakajikuta wanautangaza sana mitandaoni and hence wengi tukaenda kuufungua na kuusikiliza, mwishoni mwa siku akajikuta amepata viewers wengi tu, hongera kwake, nimeukubali ubunifu wake. Kwenye tatizo, ipo fursa, kaiona fursa, kaitumia fursa, HONGERA sana dogo JUX
 
jukusi tuna kuhamisha nchi akhaa! uyu mnigeria amewezaje kwa mpare we ulikua una tupa nje mwenzio katupiamo.
 
Bufa nimemuona mwenzio hapa walaqhi',
 

Ni aibu kwa mnigeria kuwa na jina la kigeni let alone kuwa na majina mawili yote ya kigeni mf John Paul au Mohamed Hussein wakati huku bongolala ndo sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…