Vanessa Mdee ajifungua, apewa jina la kichifu la Kipare na Igbo

Wazee wa kipare wananiangusha, au hawaelewi huyu kajinfungua nje ya ndoa.?

Ingekua ni binti wa mtaani.?
 
Imgekua Bongo ungesikia jina la mtoto ni Joseph, Christopher Columbus, Johnson, Patrick, Silvester, Michael nk kwamba haya ndio majina yenye baraka, majina yaliyobarikiwa, majina yenye upako lakini majina ya babu zao kama massawe, mwita, wambura, maduhu, masunga, mayala, Ngonyani, nk hayo yana laana, machafu, yataletea mtoto mikosi, laana.

Dini zimepumbaza sana watu.
Yanatabu sana huwa
 
Yanatabu sana huwa
Yaani kama Babu yangu alikuwa mchapa kazi na mfanyabiashara maarufu na sifa zingine nzuri nikimpa mtoto jina lake litakuwa na shida gani?

Hayo ya Wazungu kwa mfano Edward unajuaje kuwa hayana shida? Unajua maana ya hayo majina?

Hao walioanza kuitwa hayo majina unajua tabia zao?
 
Imgekua Bongo ungesikia jina la mtoto ni Joseph, Christopher Columbus, Johnson, Patrick, Silvester, Michael nk kwamba haya ndio majina yenye baraka, majina yaliyobarikiwa, majina yenye upako lakini majina ya babu zao kama massawe, mwita, wambura, maduhu, masunga, mayala, Ngonyani, nk hayo yana laana, machafu, yataletea mtoto mikosi, laana.

Dini zimepumbaza sana watu.
Mbona umesahau juma, abdalah, naseeb, aisha nk, nikuambie tu majina hayana tatizo usipaniki tu kama wewe unatumia mwita au chacha kaa kwa kutulia
 
Imgekua Bongo ungesikia jina la mtoto ni Joseph, Christopher Columbus, Johnson, Patrick, Silvester, Michael nk kwamba haya ndio majina yenye baraka, majina yaliyobarikiwa, majina yenye upako lakini majina ya babu zao kama massawe, mwita, wambura, maduhu, masunga, mayala, Ngonyani, nk hayo yana laana, machafu, yataletea mtoto mikosi, laana.

Dini zimepumbaza sana watu.
Umesahau Kendrick
 
Ukidate na mvulana anaitwa Juma andika umepigwa mbaya zaidi awe Mzaramo.

Hii sentence ni kweli kabisa kuna Jamaa yangu alikuwa very bright shule bahati mbaya hakufanya mtihani wa darasa la saba ikabidi aende form one na jina la mtu aitwaye juma tokea hapo mpaka leo mambo yake hayapo poa,hay majina ya juma sio mazuri chunguza tu utaona ni majanga kabisa kwanzia Jumalokole
 
Back
Top Bottom