[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jiwe GIZANI..!
Tumetoka uko kwenye kubishana relax[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naona wametulia tuu
Kusoma sio kuwa na akili hivi inaingia akilini wamlipe Chris Brown washindwe kumlipa vanesa mdee"If doesn't respect"
Hapo hapakuwa na umuhimu wa kulizungumza neno hilo, ni sawa na hujathamini kwamba kenya wao pia wapo kazini na tamasha lao. Kwa maana nyengine ni sawa na kusema tamasha linapelekwa kihuni.
Kesho kesho kutwa utahitaji support kutoka kwa promoters hawa hawa wa Kenya ambao wana connections za wao kwa wao wanaweza kukuweka pending wakachukua wasanii wengine wenye nidhamu zaidi kama Ali kiba.
Halafu baadae utakuja kusema watu wanakubania ktk channel kumbe ni maneno yako binafsi ndo yamekucost.
Kuwa na treysongz ni njia tu kama njia nyingine usione umefika ukasahau connections za mapromota wengine, mbona kuna AY ameimba na sean kingstone na nyimbo wala haikuhit sana.
Kwa hiyo bus linatembea angani sio barabarani unajichanganya mwenyewe yaniTangazo la kwenye mtandao,mi nazungumzia matangazo ya barabarani na kwenye TV na Redio.Kama ni hayo hata Vanessa yupo huyu hapa pia ujue tu kwamba kwa sasa mimi nipo Mombasa naongea ninachokiona sio simulizi.
Tatizo lako mwenzangu mkali,uchelewi kuanza matusi.Kama unataka tuongee hoja mi naanza.Kwa hiyo bus linatembea angani sio barabarani unajichanganya mwenyewe yani
HahahaTumetoka uko kwenye kubishana relax
Kumbe tangazo umeliona... kujitoa ufahamu tuuTangazo la kwenye mtandao,mi nazungumzia matangazo ya barabarani na kwenye TV na Redio.Kama ni hayo hata Vanessa yupo huyu hapa pia ujue tu kwamba kwa sasa mimi nipo Mombasa naongea ninachokiona sio simulizi.
Mkuu,ww ni mtanzania!Tatizo lako mwenzangu mkali,uchelewi kuanza matusi.Kama unataka tuongee hoja mi naanza.
Kiba HANA hadhi ya kusema ana perfom NA Chriss,na ndio maana HATA KWENYE MATANGAZO YA TV NA REDIO HAYUPO.
Hivi wewe unajua kuwa matangazo ya kwenye magari huwa hayalipiwi,ila MABANGO YA BARABARANI YANALIPIWA UNAJUA NI KWA NINI ...........AU UNADHANI KUWA HAWAJUI KAMA MAGARI YANATEMBEA ARDHINI .........???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe tangazo umeliona... kujitoa ufahamu tuu