Vanessa Mdee ajitoa kutumbuiza Mombasa na Chriss Brown

Hawa wakenya wao wameshakalili kuwa wasanii wanaolipwa pesa za madafu nyingi kimtindo kutoka EA hasa Tz first ni Diamond na second ni Alikiba so itakuwa vee money walitaka kumlipa kama wanavyolipaga wasanii wao wa kenya, yani wenzao wanakula mil hadi 4 za kenya eti wao wanapewa laki 1 ya kenya na wanapiga show si dharau hizo
 
"If doesn't respect"
Hapo hapakuwa na umuhimu wa kulizungumza neno hilo, ni sawa na hujathamini kwamba kenya wao pia wapo kazini na tamasha lao. Kwa maana nyengine ni sawa na kusema tamasha linapelekwa kihuni.

Kesho kesho kutwa utahitaji support kutoka kwa promoters hawa hawa wa Kenya ambao wana connections za wao kwa wao wanaweza kukuweka pending wakachukua wasanii wengine wenye nidhamu zaidi kama Ali kiba.

Halafu baadae utakuja kusema watu wanakubania ktk channel kumbe ni maneno yako binafsi ndo yamekucost.

Kuwa na treysongz ni njia tu kama njia nyingine usione umefika ukasahau connections za mapromota wengine, mbona kuna AY ameimba na sean kingstone na nyimbo wala haikuhit sana.
 
Kusoma sio kuwa na akili hivi inaingia akilini wamlipe Chris Brown washindwe kumlipa vanesa mdee
 
pwilo

Tangazo la kwenye mtandao,mi nazungumzia matangazo ya barabarani na kwenye TV na Redio.Kama ni hayo hata Vanessa yupo huyu hapa pia ujue tu kwamba kwa sasa mimi nipo Mombasa naongea ninachokiona sio simulizi.
14448268_1797915360467373_2150686740120076288_n-1.jpg
 
Kwa hiyo bus linatembea angani sio barabarani unajichanganya mwenyewe yani
 
Tatizo lako mwenzangu mkali,uchelewi kuanza matusi.Kama unataka tuongee hoja mi naanza.
Kiba HANA hadhi ya kusema ana perfom NA Chriss,na ndio maana HATA KWENYE MATANGAZO YA TV NA REDIO HAYUPO.

Hivi wewe unajua kuwa matangazo ya kwenye magari huwa hayalipiwi,ila MABANGO YA BARABARANI YANALIPIWA UNAJUA NI KWA NINI ...........AU UNADHANI KUWA HAWAJUI KAMA MAGARI YANATEMBEA ARDHINI .........???
 
NAWAAMBIA WOTE HUMU NDANI,NA HAYA NDIO MAISHA TUNAYOISHI HATA MITAANI KWETU. KAMA UNAPIGA WATOTO WA WENZAKO,SIKU UKIPIGIWA MTOTO WAKO NAWE UWE MPOLE,KAMA WALIVYOPOA WENZAKO.
HEBU KATAFUTENI KITU INAITWA FEARLESS YA JET LI,MUONE ALICHOFANYIWA NA WENZAKE KWA UTEMI WAKE.KILA SIKU MNAMPONDA DIAMOND,ILA AKIPONDWA KIBA AKILI ZINAPAA.

51ez7m6LUdL.jpg
 
Tangazo la kwenye mtandao,mi nazungumzia matangazo ya barabarani na kwenye TV na Redio.Kama ni hayo hata Vanessa yupo huyu hapa pia ujue tu kwamba kwa sasa mimi nipo Mombasa naongea ninachokiona sio simulizi.
14448268_1797915360467373_2150686740120076288_n-1.jpg
Kumbe tangazo umeliona... kujitoa ufahamu tuu
 
Tatizo lako mwenzangu mkali,uchelewi kuanza matusi.Kama unataka tuongee hoja mi naanza.
Kiba HANA hadhi ya kusema ana perfom NA Chriss,na ndio maana HATA KWENYE MATANGAZO YA TV NA REDIO HAYUPO.

Hivi wewe unajua kuwa matangazo ya kwenye magari huwa hayalipiwi,ila MABANGO YA BARABARANI YANALIPIWA UNAJUA NI KWA NINI ...........AU UNADHANI KUWA HAWAJUI KAMA MAGARI YANATEMBEA ARDHINI .........???
Mkuu,ww ni mtanzania!
Kiba kakuibia demu au kakuzngua chochote?
Ww n mpenda good music ya bongo ikue au social media fanatic tu???
 
Back
Top Bottom