brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Msanii nyota wa bongo fleva Vanessa Mdee wamewachana kituo Cha muziki Cha Muziki kwa kusema kimekuwa na upendeleo kwa muda mrefu kwa baadhi ya wasanii.Msanii Bilnass nae alimuunga mkono Vanessa kwa kusema hakumbuki yeye ni lini nyimbo yake ilipigwa kituoni hapo.
TraceMuziki ni kituo kilichopo nchini Kenya kilianzishwa kwa ajili ya musiki wa Africa mashariki, ni tawi la kituo kikubwa Cha Trace Urban.
Kimekuwa na minong'ono kwa kutuo hicho kupendelea wasanii wa WCB katika playlist zao za Kila siku