Balozi wa Samsung anatweet publicly kwa iPhone, hapa ndo waafrika hua tunafeli vibaya
Hiyo WCB umeongezea ww.Msanii nyota wa bongo fleva Vanessa Mdee wamewachana kituo Cha muziki Cha Muziki kwa kusema kimekuwa na upendeleo kwa muda mrefu kwa baadhi ya wasanii.Msanii Bilnass nae alimuunga mkono Vanessa kwa kusema hakumbuki yeye ni lini nyimbo yake ilipigwa kituoni hapo.
TraceMuziki ni kituo kilichopo nchini Kenya kilianzishwa kwa ajili ya musiki wa Africa mashariki, ni tawi la kituo kikubwa Cha Trace Urban.
Kimekuwa na minong'ono kwa kutuo hicho kupendelea wasanii wa WCB katika playlist zao za Kila siku
View attachment 967887View attachment 967888
Nionyeshee sehemu ambayo Vanessa kawataja WCB.Kwani nimesema Vanessa ndo kasema? Fuatilia ndo utajua waking Nani wanazungumziwa wanaopendelewa
Wewe unaakili kweli?shule ulienda kusindikiza wenzio? Kabla hata Vanessa hajasema hayo Kama unafutilia Trace muziki huwezi andika ujinga ulioandikaKwahiyo umeona uzi wak haukamiliki bila kuitaja wcb,,dume zima halion aibu kuongeza chumvi
Unawezekana ukajua kusoma lakini husielewe kimeandikwa nini, hao mashabiki ila mimi nilikuwa nakuomba uhighlight sehemu ambayo Vanessa kasema kwamba WCB wanapeendelewa, manake nimesoma sijaona sehemu ambayo Vanessa kawataja WCB kama ulivyo report wewe au ww ndio wasema.Hivi unajua kusoma kweli? Kuna sehemu nimeandika Vanessa kataja WCB?
Nimekwambia Kuna minong'ono kuhusu WCB ndo ukweli hata kwenye kurasa zao mashabiki wamekuwa wakicomments
View attachment 967950View attachment 967951
Unawezekana ukajua kusoma lakini husielewe kimeandikwa nini, hao mashabiki ila mimi nilikuwa nakuomba uhighlight sehemu ambayo Vanessa kasema kwamba WCB wanapeendelewa, manake nimesoma sijaona sehemu ambayo Vanessa kawataja WCB kama ulivyo report wewe au ww ndio wasema.
Kwa hiyo hapo mdee ndio kasema wcb wanapendelewa.Wewe unaakili kweli?shule ulienda kusindikiza wenzio? Kabla hata Vanessa hajasema hayo Kama unafutilia Trace muziki huwezi andika ujinga ulioandika
Kwenye page zao hata mashabiki wamekuwa wakicomment
Siku nyingine acha kukurupuka kabla hujafanya tafiti
View attachment 967938View attachment 967939
Hawana tofauti na wafuasi wa kijaniHuu ndio ujinga wa wasanii wetu wao wanachojua ni kulia lia tuu na kulaumu watu kipindi mambo yao yanapo kwenda kombo...
Kwanini asitwambie ni wakina nani wanapendelewa? Lazima wasanii wakubali kuwa sio kila muda watakuwa wao.
naona bado unatapa tapa inaonyesha kichwan una matope..hao walio comment hapo ni wapumbavu wenzio nataka unionyeshe wapi vanesa amewataja wcb wanapendelewa..Wewe unaakili kweli?shule ulienda kusindikiza wenzio? Kabla hata Vanessa hajasema hayo Kama unafutilia Trace muziki huwezi andika ujinga ulioandika
Kwenye page zao hata mashabiki wamekuwa wakicomment
Siku nyingine acha kukurupuka kabla hujafanya tafiti
View attachment 967938View attachment 967939