Vanessa Mdee alalamika TraceMiziki wana upendeleo

Uyo si alikua anajifanya ana connection na watu wa BET sijui ni jaji gani kwenye awards fulani...
Mara anajidai kazaliwa mbele so ana connections kibao..

Tukajua labda angekua levo zingine kumbe hamna kitu...
 
Mwambie aendelee na clouds fm , kama amechukia sana afungue radio yake
 
ILA ni kweli trace muziki wanawapendelea wcb nshajiulizaga but as long as wcb ni wa tz fleshi tuu lkn sio poa sabab wcb hawako pekeyao!!
hata BBC Swahili habari za msanii ni diamond pekee
pia niwaambie BBC swahili kua diamond sio msanii pekee eastAfrica!!
but sifikirii kama tracemuziki ndio tv station inaoongoza kuangaliwa hapa ea:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…