Vanessa Mdee ana bahati..

Vanessa Mdee ana bahati..

Wooooooooooooh ma fav artist, naenjoy mnoo vee kuwa na rottiee,
Hii hit ni noumer na wameua kwa kweli.
"Vee money on the truck eeeh" kwa saut ya Vanessa.
 
Juxi bado hajabahatisha jmama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka jimama la wapi? Yupo Zimbabwe now huenda akarud na dogodogo, maan naona kuna ka mdada ka huko anapiga nako selfiee insta.
 
Vanessa mtoto mzuri wala sio bahati. Yaani huyo mtoto hata ingekuwa mimi, everyday ningekuwa nakesha popo mpaka azae, sio Jux alikuwa anashindana nae kupaka rangi za kucha tu.
 
Vanessa mtoto mzuri wala sio bahati. Yaani huyo mtoto hata ingekuwa mimi, everyday ningekuwa nakesha popo mpaka azae, sio Jux alikuwa anashindana nae kupaka rangi za kucha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani khaaaaah.
 
Back
Top Bottom