Vanessa Mdee ana bahati..

Vanessa Mdee ana bahati..

Dogo alizingua miaka mingi alikuwa na huyu bint akumfanya hata ateme mate angeacha ukumbusho unao heleweka kuwa alikuwa na hii bint ya kaskazin
Sasa hivi imesikika nyuma geuka wa mwisho amekuwa wa kwanza. Dogo nahisi ndiye anateseka maana hadi kamwimbia wimbo naanamtaja taja hapa na pale kwenye interview
 
Wooooooooooooh ma fav artist, naenjoy mnoo vee kuwa na rottiee,
Hii hit ni noumer na wameua kwa kweli.
"Vee money on the truck eeeh" kwa saut ya Vanessa.
Hata mi na wewe tunaweza kuwa rotmi na Vanessa bibie cocastic
 
Sijawahi kuona uzuri wa Vanessa[emoji30][emoji30], yule mdogo wake nimemla sana![emoji39][emoji39]
 
Like that 80s reggae hit song by Third World, now that they found love what are they gonna do with it? Ms Mdee is all looks but not so much musical talent. Her voice is too high pitched, and tiresome to listen to, combined with lackluster lyrics.
 
Back
Top Bottom