Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
sababu mama yake Jux ni papa kubwa sana la madawa ya kulevya..ni matajiri sana kwao..uliza waliosoma naye Essacs enzi za kina Cyril,one the incredible inajulikana utajiri wa kina jux ni issues ganihivi ni kwanini wanawake wanaokuwa na mahusiano na Juma huwa wanapatwa na skendo za madawa??? alianza jack now vanessa..Pole vee
Jux anaponaje?hivi ni kwanini wanawake wanaokuwa na mahusiano na Juma huwa wanapatwa na skendo za madawa??? alianza jack now vanessa..Pole vee
Pole ya nini?wakati ni mtuhumiwa wa madawaPole v kila kitu kitakuwa sawa.
Mie niliumia wakati Wema aliposekwa ndani, ila kwa Vanesa sijaguswa hata....sijui kwa nini?
Kwa sababu wewe na wema mnafanana kila.kitu hadi makalio