Vanessa Mdee atoa tangazo la Crown Paints, linaitwa HAMJUI, licheck hapa

Vanessa Mdee atoa tangazo la Crown Paints, linaitwa HAMJUI, licheck hapa

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,975
Reaction score
3,829
tumeona wasanii wengi tu hata huko ulaya na marekani wakiwa wanatangaza bidhaa kwenye video zao,

km vile simu, headphones na cameras lakini kwa hii ya Vanessa ni too much,

imeharibu video nzima kwa ujumla,unless aseme video itakuja hili ni tangazo tu.

 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaha nmependa kichwa cha habari hahahahaahhahaha ila kweli hili ni tangazo mana doh!
 
wimbo mfupi yaani kama verse moja ya stamina''hamjui tu nye ndo alichonifunza mama''
yaani hapo wimbo umerekodiwa kila kitu,mziki umekuwa mrahisi siku hizi.
Hilo tangazo labda kala mkwanja mrefu.
 
Haaaahaaa duh kweli ni tangazo dzain inawezekana hao jamaa ni wadhamini wake ivyo kalipa fadhila.
 
Wadau wengine tuna hu jintao hatuoni ebu elezeeni hiyo video ina nini? Wimbo wa hamjui naupenda sana na pia beat nzuri.
 
Kweli ni tangazo maana sijui wamempa kiasi gani...?
 
hahaaaa!! jf is never borering, nikajua tangazo kweli
 
Ni ambassador wao, na yupo kwenye billboards zao. So pengine wameextend contract had kwenye video
 
Nikama vile wale ambao nyumba zao kwa nje zinapakwa rangi lakini ya tangazo la bidhaa fulani halafu inakuwa bure. Nadhani hii imekuwa bure kwake.
 
Ni kama MMG and Diddy wanavyoingiza pesa kwenye Ciroc,inabidi ikichezwa hiyo video kwa hapa kwetu Crown paints walipie sekunde zote zinazoonekana bidhaa zao kama hawalipi inabidi producer wa vipindi waweke faint/blur
 
Back
Top Bottom