Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Jamaa Yuko very humble. Ana pofanyiwa interview lazima utamkubali tu. .majibu yake ni zaidi ya mwiba kwa mtu anayejielewa. Demu lazima achanganyikiwe. ...

Wajua V alijaribu kumbwaga mchizi akidhani kwamba labda jamaa Ataanza kulia Lia na kutilia huruma ..siku zilipo fika akaja kubaini kuwa jamaa hana time tena
Vanesa Mdee amepanic wakati jamaa anamuongelea very positive.

Meneja wa Vanessa ana jukumu la kumdhibiti asishiriki mahojiano yoyote mpaka stress ziishe otherwise atazidi kujivua nguo yeye mwenyewe kwasababu Jux yeye akiulizwa anajibu very positive.
 
Sasa Vannesa yeye kama ana shimo kubwa anategemea jux ndio awe analijaza?
 
Back
Top Bottom