Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Sasa yule fidodido jamani kama ni kweli huu unga nao uwe na huruma pale utakula nini huo unga ? maana minofu mpaka umulike na microscope ndio unatuona tunyama
 
Nimekuelewa kabisa mkuu na asante kwa maelezo zaidi.

Nisichokubaliana na wewe ni huo uchangamfu unaosema wewe.
Nakupa Home work mkuu....jaribu kumchunguza Vanessa labda pengine ndio alivyo maana simjui sana in Personal ila mcheki sana alivyo mchangamfu alafu angalia kwa Elimu yake na urembo wake anastahili kuwa vile?!
 
Sasa yule fidodido jamani kama ni kweli huu unga nao uwe na huruma pale utakula nini huo unga ? maana minofu mpaka umulike na microscope ndio unatuona tunyama
Mhh, ina maana Jux anapata shida sana??!!
 
kumbe jamaa anauza sembe, ndio mana anajinadi kuna sku eatv anahojiwa anasema anatumia lak nanusu kwa siku
 
Kwa hiyo unga wa daraja la juu ndio mzuri??
 
Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante malkia wa ubuyu..

Ujue huu unga daraja la kwanza ni Cocaine ile yenyewe pure.. Hawa akina Chidi Benz & Co wanatumia crack cocaine au heroin..
huo unga wa daraja la kwanza unao uongelea,ndio ule unaotumiwa na yule mfadhili wa timu moja ya mpira wa miguu, maarufu na kongwe sana hapa Tz.

weka mbali na watoto mkuu.
 
Duuuuh na huo mwili wke kma Daz Baba si itakua kituko...... Vanessa uzungu pori mwingi sana kupiga picha n kyupi wakati afya yenyewe kma Betina.
Wajameni mi vifupa vyake v8nanitoaga udenda kwa kweli!
 
huo unga wa daraja la kwanza unao uongelea,ndio ule unaotumiwa na yule mfadhili wa timu moja ya mpira wa miguu, maarufu na kongwe sana hapa Tz.

weka mbali na watoto mkuu.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40]
 
Hii vita ni kubwa sana sisi atuchagui Rais but kuna kikundi cha watu ndo wanatuchagulia Rais wewe fikiria faru john alivyofuatiliwa au huakiki wa vyeti fecki ushawai kuskia madawa yanafuatiliwa hivo akiri kumukichwa
 
Kwa hiyo unga wa daraja la juu ndio mzuri??
Hakuna unga mzuri.! But Cocaine ina afadhali, coz advantage yake moja wapo mtumiaji hapati addiction kwa haraka labda atumie miaka mingi.. Hii ndio itakuwa anatumia Vanessa (kama kweli anatumia) na Sepetunga..

Ila crack cocaine au heroin ukitumia mwezi tu imekula kwako, hutakuja kuiacha maishani!
 
Daudi alikua mpiga kinubi/zumari. Elizabeth alimuimbia Maria alipotembelewa nae. 'Wimbo' ulio bora wa Suleiman ni muziki/mashairi. Kwaya na kaswida ni muziki.

Umechemka mjomba.
Ni kweli ni muziki lakini kuna miziki ambayo haina utukufu wa Mungu...na miziki hiyo ipo wazi pale waimbaji wanapopandisha mizuka yao na kuonesha ni Mungu wa aina gani wanamtukuza. Kwa mfano Ala za Zumari ni tofauti kabisa na Ala ambazo Rose Muhando anazitumia...Nyimbo za daudi zilikuwa na Instrument moja tu na sauti haya fanya mixing mwenyewe uone kama utapa mizuka ya Rosw Muhando hapo!

Elizabethi alitumia beat ngapi kumuimbia Maria...Kwa tamaduni za wayahudi wa eneo lile Accapella was their best Muziki fuatilia mpaka leo hii hipo.

Suleiman Alikuwa mwanamalenga hakuna sehemu mashairi yake yaliimbwa kwa uwendawazimu kama ambavyo tunaona sasa. style za Mapanga Shaa, kukata viuno na kubinua Makalio zikiingizwa kanisani. Ni ajabu watu wa kanisani wanaiga uchezaji wa kiduku wanaleta ndani ya kanisa badala ya kanisa kuja na style ya kumpendeza Mungu ambayo itaigwa hata na wapagani.

So ni kweli Zote ni Miziki lakini Mingine haina utukufu wa Mungu
 
Sababu serikali imewapa Uhuru na wala haiwafatilii,yenyewe imejikita zaidi kwa vyama pinzani na wanaoikosoa,kama ingekuwa na uchungu na nguvu kazi inayoangamia kwa hayo madawa nadhani tatizo lingeanza kupungua kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…