Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...


ashanaswa hata chid benz alianza kwa kukataa na kutetewa starehe ikikuzidia unaanza kuyafuata kinondoni manyanya ray c alikuwa anababuliwa na mapusha kwa kete tatu tu nyuma ya kinondoni mahakamani ukiweza kumnunulia uliobora anakuona mungu mtu
 
Ben po alishauriwa ila alikuwa muoga nlibahatika kupata story kwamtu wake wa karibu akanambia analalamika anafanya mziki mzuri na unasikika ila mafanikio si kama wengine alivyofatilia akaambiwa mchongo sembe ila alikataa nahisi anajishauri ila anajua mchongo.tuwaangalie sana hawa wanao hiti maana naskia ukikataa dili ba mzik kushney.
Mjini kuna mambo lakini JF ni Zaidi.
 
Hivi ugoro, kuberi, na chivu mchanganyo huo nao ni madawa ya kulevya nikikamatwa nakunywa navuta inakuaje
 
akiimba mziki huwa nahisi ubongo wake umetulia. ila ukimuweka one to one interview, huwa sielewi kama ubongo wake upo mguuni au usoni. anasambaratika, anajifanya mmarekani, anajifanya amesoma kenya halafu anaongea kama mtu ambaye hana elimu kichwani kabisa, anajifanya yuko juuuuuuuu halafu hana point kabisa. hata kina dangote wasioenda shule huwa wanaongea mambo yenye akili na point sana, yeye hana point kama le mwiliz. alihojiwa siku moja na kituo cha tv kenya, anatia aibu tu, kwa umri wake haongei point, kama mlevi...ni kama mtu mwenye mapepeeeeeee na mwenye akili isiyotulia. hivyo hata kama havuti, hakika mimi wakisema anavuta hata kama sio kweli, ninaweza kuamini asilimia tisini. mapepe yale sio ya mtu mwenye akili ya kawaida....na kujifanya mmarekani. sijui hana washauri au ni pepe liko ndani yake hajipendei ? sijui ni nini? hatamanishi kusikiliza kabisa akiwa kwenye interview.
uko sahihi kabisa mkuu,yale ndo yanaitwa mawenge sasa.mtu anakuwa hatulii kama vile ana kipisi cha m.boo matak**ni,yule unga anabugia
 
Tatizo LA watanzania ndio hili, kikitamkwa kitu huwaga Hatunaga muda wa kupima Bali ubongo wetu huling'amua Kama lilivyo, cjui nani katuloga! We need to change dear friends!
Hii kesi ya watu wanaotumia mihadarati haijaanza Leo ,lkn kinachonishtua n kuona watz wengi wakiona Kama ndo news inayotrend na kweli kuwa waliotajwa wanahusika kwa namna moja ama nyingine, Kwan kuitwa polisi n kuwa guilty? Tuacheni kudandia meli majini!
 
Ukiolewa na jambazi ukubali kuwa na wewe jambazi maana kama mimi nashangaa kutajwa Vanessa ila jux hajatajwa
Ila jux Nina mashaka nae.mana jack alikamatwa kwa madawa na Vanessa nae anashutumiwa kujihusisha na madawa.jux vepee baba wew je?
Ebu tusubirie vmoney akienda kuhohiwa inawezekana akamtaja bwanake
 
Back
Top Bottom