DK The Farmer
Senior Member
- May 27, 2013
- 103
- 16
Vanesa mtoto mdogo sana kimziki thn knw da jide a.k.a Anaconda ni ICON ya Tanzania...kama mwana fatuma alichemka pindi alpo weka show cku 1 sembuse huyo mwny nymbo 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi mbona huwa unapenda kunipa stress mwenzio Jide ndo nini sasa,changia mada tu.....Kaka yaani umetaja wote ila kwa jide apo kitanuka si mda
huna hoja yoyote unatapika tu...hana lolote huyo na roho mbaya yake kuwaaminisha watu eti anaonewa kumbe usanii mtupu!kuna siku utanielewa kwa wasanii wa kike bora enika au stara yule alikuwa anabebwa sana,je waweza taja wimbo wa zamani aliotamba nao sana bila mikono ya clouds....jibu hapana so ni mtu ambaye hana shukrani.kuna siku hata ninyi mnayemhurumia akawaponda!Vanesa mtoto mdogo sana kimziki thn knw da jide a.k.a Anaconda ni ICON ya Tanzania...kama mwana fatuma alichemka pindi alpo weka show cku 1 sembuse huyo mwny nymbo 3
Kwani kayumba ndiyo wapi?
Mimi!!Hivi nani anammega yule mtoto?
I like tht gal...anaishi kivyake vyake....ameifunika ya jokate ambaye alijiharibia sifa kwa kutembea na diamond
Demu mwenyewe sura ukakasi,umbo hata mwajuma muuza karanga ana afadhali,,2 hell with her,,
She was right. kuchafua lugha ya kiswahili tena katika kituo cha televisheni kinachoangaliwa na watu mbalimbali sio kitu kizuri.
Nampongeza Vanessa kwa hilo.