chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Yale yale ya Kiba na ngoma ya lala salama, sema Vanessa mzungu hatomaindi
Jamaa mkuu hamaanishi kuwa kujichubua ila nafikiri ilimaanisha Vanesa life style yake siyo ya kiswahili hiyo ishu ataipotezea kutokana na maisha yake na mziki wake anavyo jiweka kama mzungu!Mkuu kujichubua haimfanyi mtu awe mzungu. Anyway, nani aliyekudanganya wazungu sio watu wa kumaindi
Jamaa mkuu hamaanishi kuwa kujichubua ila nafikiri ilimaanisha Vanesa life style yake siyo ya kiswahili hiyo ishu ataipotezea kutokana na maisha yake na mziki wake anavyo jiweka kama mzungu!
Hivi unaamini kuwa kiba sauti yake ilifutwa kwny lala salamaYale yale ya Kiba na ngoma ya lala salama, sema Vanessa mzungu hatomaindi
Hayo ndo yalikuwa madai yake unless kama alidanganyaHivi unaamini kuwa kiba sauti yake ilifutwa kwny lala salama