Vanessa Mdee ndani ya bifu na WCB kisa wimbo wa kijuso

Vanessa Mdee ndani ya bifu na WCB kisa wimbo wa kijuso

Mimeno kama jini upo upo

kwa wewe una nini? ttttttssskkk

lakini vanesa ile kifua chake sijakipenda hakijaendana na mwili wake
 
Umetoka lini huo wimbo wa Mo Kijuso mchezaj wa zaman wa Simba
umenikumbusha mbali sana mkuu huyu jamaa alikua vizuri kipindi hiko anacheza na yule mzee wa kunyosoa wenzake uwanjani
 
ndio maana nikauliza hapo juu nani kasema wazungu sio watu wa kumaindi? Halafu kujiweka kama mzungu ndio kujiweka vipi?
Inaonekana we ni mswahili sana mkuu!!
 
Jamaa mkuu hamaanishi kuwa kujichubua ila nafikiri ilimaanisha Vanesa life style yake siyo ya kiswahili hiyo ishu ataipotezea kutokana na maisha yake na mziki wake anavyo jiweka kama mzungu!
Kitendo cha kusema tu inaonesha kamaind,kuipotezea ni kwamba asingesema kabisa,au unadhani kwann kaamua aseme kwa hadhira?
 
Yaani huyo boss wao toka kitambo hii kashfa ya kuiba idea za watu, mfano ule wimbo wa mbagara alimuibia idea Tanzanite.. Ikaja lala salama akatoa vocal za kiba sasa na hii wametoa vocal za vannesa .. Lisemwalo lipo
Hivi wewe unaamini kuwa diamond aliiba wimbo wa tanzinite?
Tanzanite ndiye aliamua kurudia wimbo wa diamond teba sio huo tu kuna wimbo mwingine nao aliurudia na akawa anatafuta bifu ya lazima na jamaa lakini mond alimkataa kumpa atention.
 
Back
Top Bottom