Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
umenikumbusha mbali sana mkuu huyu jamaa alikua vizuri kipindi hiko anacheza na yule mzee wa kunyosoa wenzake uwanjaniUmetoka lini huo wimbo wa Mo Kijuso mchezaj wa zaman wa Simba
Inaonekana we ni mswahili sana mkuu!!ndio maana nikauliza hapo juu nani kasema wazungu sio watu wa kumaindi? Halafu kujiweka kama mzungu ndio kujiweka vipi?
Inaonekana we ni mswahili sana mkuu!!
wamefanya nini?WCB.ni Kikundi cha wajinga wachache wanaojihic ni waelevu san hap TZ
Hakuna cha mzungu, wcb tabia zao mbaya yaani wanasubiri MTU awatafunie wao wameze tu na huyo queen Darleen anabebwa tuYale yale ya Kiba na ngoma ya lala salama, sema Vanessa mzungu hatomaindi
Sijawahi kuona vanessa aliposhirikishwa akaboronga hiyo ilikuwa ndo lengo Lao la kumrudisha Darleen kwenye gameHao jamaa uwenda waliona kaboronga ndomana wakatoa sauti ya huyo binti!
Yaani huyo boss wao toka kitambo hii kashfa ya kuiba idea za watu, mfano ule wimbo wa mbagara alimuibia idea Tanzanite.. Ikaja lala salama akatoa vocal za kiba sasa na hii wametoa vocal za vannesa .. Lisemwalo lipoWCB.ni Kikundi cha wajinga wachache wanaojihic ni waelevu san hap TZ
Kitendo cha kusema tu inaonesha kamaind,kuipotezea ni kwamba asingesema kabisa,au unadhani kwann kaamua aseme kwa hadhira?Jamaa mkuu hamaanishi kuwa kujichubua ila nafikiri ilimaanisha Vanesa life style yake siyo ya kiswahili hiyo ishu ataipotezea kutokana na maisha yake na mziki wake anavyo jiweka kama mzungu!
Hivi wewe unaamini kuwa diamond aliiba wimbo wa tanzinite?Yaani huyo boss wao toka kitambo hii kashfa ya kuiba idea za watu, mfano ule wimbo wa mbagara alimuibia idea Tanzanite.. Ikaja lala salama akatoa vocal za kiba sasa na hii wametoa vocal za vannesa .. Lisemwalo lipo