Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Sugu muziki haukumlipa ndo maana akaingia siasa. Ingawa Oktoba anaweza kupewa likizo ya lazima Wana Mbeya (M)Sugu mtoe hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sugu muziki haukumlipa ndo maana akaingia siasa. Ingawa Oktoba anaweza kupewa likizo ya lazima Wana Mbeya (M)Sugu mtoe hapo
Mzee naona umeshtuka ... Koti la billion 1. Duuhh hata lile la wacko jacko alilolivaa katika video ya thriller likipigwa mnada haliwezi kufikia bei hiyoKoti gani hilo la bilioni moja?!
Huyo ndiye kanjanja lao ..jamaa ni muongo jiwe anasubiriWakiongozwa na domo
HahaaaWabongo ndio tulivyo, tunafikiria baba/mama/mjomba au shangazi akiwa tajiri basi sie wote matajiri tuu.
Kajitibia wapi ?? Wakati kina joho na kikwete ndio walio muhudumiaHalafu huyu jamaa aliumwaga hakuomba hata sh kumi ya MTU kujitibia huyu mwamba anayejiita dimpoz
Maigizo tu Yale usidanganyike ... Ulishawahi kusikia visa vya kundi la G 7 ... Basi hapa town kuna madon kuwapa wasanii magari ya kuzugia na kuwajazia mafuta na hela za vocha kwao ni jambo dogo ilimradi tu wapewe papa nguruMaana sio kwa show off zile na ana msafara wa magari zaidi ya matatu plus wapambe juu
Hahaaa mkuu heshima yakoMkibadili ID muwe mnabadili na tabia zenu za zamani. Baada ya kuona haya matusi na huu uswahili-swahili nikafahamu moja kwa moja wewe ni nani. Usipende kuchafua majina ya watu na acha ubaguzi wa rangi.
Sure indeedVanessa ni hustler kitambo tu hata hajaanza mziki,huyo shishi kama humjui si msanii kama unavyodhani yule ni malaya tu anayetumia mziki kama matangazo ya biashara yake ya ukahaba
Dogo mziki wa kibongo hauna hela kama unavyodhani..ndo maana wengi wao wana maisha magumu na kuishia kuwa punda wa mizigo ya madawa ya kulevya. ...hao wasanii wa kike kwenye tasnia ya muziki wanato*mbeka bwana weee acha..
Ndugu yangu mzima wewe, kitambo sana mzee!Hahaaa mkuu heshima yako
Maana bibie Nandy Sasa hivi Yuko juu kweli msafara wa magari ka wote kumbe anatoa kipapa, Vanessa alisema ukweliMaigizo tu Yale usidanganyike ... Ulishawahi kusikia visa vya kundi la G 7 ... Basi hapa town kuna madon kuwapa wasanii magari ya kuzugia na kuwajazia mafuta na hela za vocha kwao ni jambo dogo ilimradi tu wapewe papa nguru
Sasa Nandy kipapa hajaanza Leo, na hadi hapo alipofika instruh n kipapa, kwahyo anaendeleza carrier yake km hivyo.Maana bibie Nandy Sasa hivi Yuko juu kweli msafara wa magari ka wote kumbe anatoa kipapa, Vanessa alisema ukweli
Haukumlipa vp wakati umemfanya awe MPSugu muziki haukumlipa ndo maana akaingia siasa. Ingawa Oktoba anaweza kupewa likizo ya lazima Wana Mbeya (M)
Huyu Nandy jasiri mpita njia si alikuwa baby wako, na yule gavana Joo huko kenya, Vanessa Yuko vizuri kuliko mziki nilikuwa nampenda akiwa mtangazaji zaidiSasa Nandy kipapa hajaanza Leo, na hadi hapo alipofika instruh n kipapa, kwahyo anaendeleza carrier yake km hivyo.
Vanessa ana hustle yeye km yeye, na alishakataa kuwa punda wa jux & mama ake. Ndio maan alikuwa hapati km vile anavyotaka ila Mungu hakumnyima alimpa kidogo.
Nandy n mchumia k, afu vee sio kwamba ana maisha magumu noope, ila alikuwa anawapa ukweli watu wajue kuwa wasanii wanafake life. Lakin yeye mziki hawez kuacha kamweehHuyu Nandy jasiri mpita njia si alikuwa baby wako, na yule gavana Joo huko kenya, Vanessa Yuko vizuri kuliko mziki nilikuwa nampenda akiwa mtangazaji zaidi
Hiyo ni kawaida sana kwenye mainstream ya entertainment .. Ili utusue kutoa papa au dushe ni principal hiyo hahaa..Maana bibie Nandy Sasa hivi Yuko juu kweli msafara wa magari ka wote kumbe anatoa kipapa, Vanessa alisema ukweli
Mkuu nipo salama .. Nashukuru naimani uko salama piaNdugu yangu mzima wewe, kitambo sana mzee!
Hope you are doing well...
Bora hata Kim Kardashian umaarufu wake umemfanya bilionea na hata ndugu zake wamekuwa milionea kwa umaarufu Sasa bongo msanii jina kubwa toa papa na kupata maradhi yet unakuwa fukara wakutupwa with nothing to showHiyo ni kawaida sana kwenye mainstream ya entertainment .. Ili utusue kutoa papa au dushe ni principal hiyo hahaa..
Hata Kim kadarshian watu tulikuwaga hatumjui kihivyo baada ya kumpa papa ray j then wakavujisha sex tape ndio Kim akaanza kuwa popular
Ndo Tanzania hio, watu wanaujuaji wa kijinga sanaPale mtu ambae hajawahi kua mwanamuziki maisha yake yote anamuelekeza mwanamuziki how it feels like to walk on a musician shoes!
Kim Kardashian baba yake alikua ni tajiri, in short katokea familia ya kitajiri, hata hata Bruce Jenner alikua ni tajiriBora hata Kim Kardashian umaarufu wake umemfanya bilionea na hata ndugu zake wamekuwa milionea kwa umaarufu Sasa bongo msanii jina kubwa toa papa na kupata maradhi yet unakuwa fukara wakutupwa with nothing to show