BABIE ANAFURAHIA HIVIVanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
hio oman arab attachment yako naona link iko broken. Sasa nikwambie tu, mimi nishakwenda Oman, Dubai na Abu dhabi, huko nimekuta waarabu weupe pepe kabisa, wapo waarabu wenye rangi za kufifia kama vile wapo waswahili wenye weupe. Lakini tunasema kuwa mswahili ni mweusi basi na waarabu ni weupe. Sina haja ya kufanya research wakati tayari nishakwenda kwenye hizo nchi labda wewe ndio ufanye research, uende ukatembee sio uka google tu ukafikiri ulichokiona google ndi 100% kipo ivo. tembea uone!View attachment 497834
kaka mimi wasudani siwahesabu kama warabu,warabu wenye rangi ya ngozi nyeupe ni warabu wa Afrika kaskazini yaani wamoroko,watunisia ....etc.hizo nchi ulizozitaja ni nchi zenye waraabu wenye rangi ya kufifia au kwa ufupi nyeusi....fanya utafiti kabla hujaandika usichokijua siku hizi ukenda kwenye google utapata kila kitu
usini quote tena,unairudisha IQ yangu nyuma
Michael Jackson
'
Omani ArabView attachment 497832
hio oman arab attachment yako naona link iko broken. Sasa nikwambie tu, mimi nishakwenda Oman, Dubai na Abu dhabi, huko nimekuta waarabu weupe pepe kabisa, wapo waarabu wenye rangi za kufifia kama vile wapo waswahili wenye weupe. Lakini tunasema kuwa mswahili ni mweusi basi na waarabu ni weupe. Sina haja ya kufanya research wakati tayari nishakwenda kwenye hizo nchi labda wewe ndio ufanye research, uende ukatembee sio uka google tu ukafikiri ulichokiona google ndi 100% kipo ivo. tembea uone!
Eti wasudan sio waarabu, kwanini huwaiti waarabu? kwakuwa weusi au? au kwakuwa hawapo kaskazini mwa afrika? mi naona IQ yako tayari iko nyuma, najaribu kuivuta mbele lakini umeweka brake na kuidumaza. Kwa sababu unaongea vitu ambavo ni vya ajaabu.
Umemuona micheal alivozaliwa eenh? amefariki ana rangi gani?
Ongezea info hii katika IQ ulokuwa nayo,, yoyote yule akiamua anaweza kujibadilisha rangi yake! Rangi ya mtu hai define umbo la mtu, wapo waafrika matako flat, wapo wazungu wana natural butts and tits haya yote ni kutokana na lishe na mazingira uliojiekea. Dada Vanessa hapa sijadili kama yeye ni mweusi au maji ya kunde au ni mweupe. Vanessa rangi yake haiko safi, shingo nyeusi kama ilojaa nongo, matako yake kama portion imeungua ivi upande mwengine umepona, visugudi navyo vyeusi, nimekuletea picha za waafrika beauty uone rangi zao kama ya vanessa ila hawana hayo mabaka ya kuashiria kauchafu fulani, labda hajisugui vanessa anajimwagia maji tutambua kujibadilisha rangi inatokana na insecurity na uwendawazimu wa mtu
tambua kujibadilisha rangi inatokana na insecurity na uwendawazimu wa mtu
hapo nilipo quote ndio wenye akili kama wewe,wewe ulianza kumponda huyu dada kuwa rangi ya ngozi yake mbaya,umeona bora Beyonce ana rangi nzuri kuliko huyu dada,mimi nilijaribu kukufahamisha kuwa hao akina Beyonce na na wahindi na warabu wote wanatumia mikorogo..
Sasa sikufahamu tena unakuja na maneno kama hayo niliyoya-qoute,sasa unataka kuniambia kuwa Vanessa anajiamini ndio maana kaamua kuwa na natural color ya ngozi yake.....sikufahamu mkuu umenichanganya kidogo
By the way, I myself and I prefer natural dark color...π
Tatizo lako wewe hukuwa muelewa tangu mwanzo, hakuna pahala nikasema kuwa eti black mbaya, katika kila post nilijaribu kukuonesha my point lakini kwa vile IQ yako imefika mwisho hukujua ata nini kinapondwa. Nimejaribu kukuonesha visgudi vyake, nimejaribu kukuonesha shingo yake na tako lake, na kama ulikuwa unapitia post za wadau wengine utaona kuwa wamegusia zaid rangi ya tako.shingo nyeusi sura maji ya kunde. Nikakuletea picha za wanawake wa kiafrika walovaa bikini uifananishe na ya vanessa, au wamejichubua na wao? Kabla hajavaa nguo izo ajiangalie mwili msafi? SHINGO ANASUGUA AU ANAITIA MAJI TU WAKATI WA KUOGA?Tone yake ya rangi haipo sawa, na inanifanya nione ni kwa sababu ya uchafu,
Iruhusu IQ yako ijifunze basi π
Tone yake ya rangi haipo sawa, na inanifanya nione ni kwa sababu ya uchafu,
Wacha wewe, usiongee usilolijua. Kuna waarabu weupe pepe kabisa na hawatumii mkorogo, sio kila mweupe anatumia mkorogo kama mmezoea uswazi usifikiri kila alokuwa mweupe eti anatumia mkorogo. Kuna natural skin care ambazo sio mkorogo unaieka skin yako fresh na safi.Kaka binadamu yoyote hata hao watu weupe unaowasifia basi rangi zao za nguzi zinakuwa tafauti inatokana na sehemu,mfano kwaba,magotini,chini kwa bimkubwa kwa wazungu zinakuwa njano kidogo,wa afrika zinakuwa ziko nyeusi zaidi kuliko sehemu nyengine za mwil,i hiyo ni kawada...
Sasa unataka huyu dada awe na rangi gani katika sehemu zake za matako na shingoni wakati yeye yuko natural hajatumia mkorogo?!!!Na ndio maana nikakuwekea video na picha za wahindi ili uone kuwa hao wahindi na warabu unaowaona wako weupe wanatumia dawa ili kuzidisha weupe wao hawako natural
Wewe unaona uchafu mimi naona "natural".....
ha hahhaha acha kunitekenyaHili nalo ni vazi au ni marapurapu?