Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu yawezekana umeamka vibaya .huwa sipanic hovyo ni kukuweka2 sawa mwenye Uelewa ni ngumu kuhusishanisha Kabila na Tabia
Kwa story za kunyapia nyapia dogo ana mnato wa hari ya juu sana ndo maana jux daily kulia kuliaNamkubali sana huyu shor
Huyu manze ni hatareeKwa story za kunyapia nyapia dogo ana mnato wa hari ya juu sana ndo maana jux daily kulia kulia
Hili uliloliuliza tizama na ulichoandika hapa chini.Hivi kaka uko dunia gani?hivi unajua hivi sasa watu waliokuwa hawana ngozi nyeusi wanapiga shindano rangi zao zifanane na rangi ya ngozi ya mwafrika
Hao wanaojichubua akili zao kama wewe hawajui umuhimu na uzuri ngozi nyeusi
Warabu na wahindi weupe, mbona hawapigi sindano kuwa na midomo mikubwa? Nicki minaj ni black lakini kajipiga sindano za matako na maziwa apo vipi? Aliekwambia viungo hivi ulivovitaja ni matokeo ya rangi ni nii? Haya mambo ya misosi, kuna mademu hapa hapa bongo wanajidunga vya mchina na wao ni black tatizo nini? Ukijibu basi pia utapa jibu la hao wazungu.Miaka ya nyuma mtu alikuwa akiwa na midomo mipana alikuwa akionekana mbaya,hivi sasa wazungu na watu wengine wanatengeneza midomo yao ifanane na ya kiafrika.
Hili jipya leo. Mkuu unakuwa unayotolea wapi matoleo mapya kama haya? Sijawahi kusikia tangu zamani mwanamke akipondwa matako yake kama makubwa! Matako flat hayakuwahi kuwa katika fashion hata siku moja. Hata hivo, wablack wakibongo wanajidunga matako yao, Nicki minaj nae black kajidunga, sasa kama black is such a beuty na ukiwa black eti unakuwa na matako tu lazima hao wakibongo na nicki wanajidungia nini? Sijaona kundi la waarabu na wahindi wakifanya huu upuuzi! Umewacheki walatino? Al maarufu tuseme wabrasil, ambao ni mixed race hii unakuta watoto maji ya kunde na mwili umejaza natural hata black hafikii! hahhaah wewe acha masihara yakoMiaka ya nyuma mwanamke alikuwa akiwa na matako alikuwa anaonekana mbaya hivi sasa wanawake wengi wa ulaya na sehemu nyingine duniani wanataka wawe na matako yaliyofanana na mwanamke wa kiafrika
Si lazima awe mzuri machoni mwako, inawezekana demu akiwa mzuri kama hao huwa ushakata tamaa kuwa si class yako kwahivo una feed your brain kuamini kuwa hawana uzuri. We nikuulize tu Uzuri wa vanessa uko wap? Kwanza umetizama shingo yake vizuri kama nlivokwambia? Apewe shushu ajisugue vizuri. Mimi nimekutumia pic za hao mademu uwe skin color tone ilivokuwa perfect, mwenzetu Vanessa ni kama vile kuna sehemu hasugui akioga!! Hebu nambie uzuri wa black vanessa, Kifua mpaka kiwe pushed na matako mpaka abenue!kaka sioni uzuri wao......
Warabu na wahindi weupe, mbona hawapigi sindano kuwa na midomo mikubwa? Nicki minaj ni black lakini kajipiga sindano za matako na maziwa apo vipi? Aliekwambia viungo hivi ulivovitaja ni matokeo ya rangi ni nii? Haya mambo ya misosi, kuna mademu hapa hapa bongo wanajidunga vya mchina na wao ni black tatizo nini? Ukijibu basi pia utapa jibu la hao wazungu.
Kaka jaribu kufanya utafiti kabla hujaandika,warabu na wahindi walio weupe ni wachache sana,wengi wao ni weusi,wengi wanatumia mkorogo wawe weupe,wahindi ndio wanaoongoza duniani kwa kujichubua
kaka mimi wasudani siwahesabu kama warabu,warabu wenye rangi ya ngozi nyeupe ni warabu wa Afrika kaskazini yaani wamoroko,watunisia ....etc.hizo nchi ulizozitaja ni nchi zenye waraabu wenye rangi ya kufifia au kwa ufupi nyeusi....fanya utafiti kabla hujaandika usichokijua siku hizi ukenda kwenye google utapata kila kituU
ulishatoka nje ya tanzania lakini? ukenda kama Oman, dubai, Abu dhabi n.k? Au ulifikiri waarabu ni wasudan tu na wasomali?
Usimsahau michael jackson katika hili