Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Ujingaaa, Hiv si ana ndugu huyu!!! Duuuh tunakoelekea huko sasa khaaaaa!!!?
 
Hivi kaka uko dunia gani?hivi unajua hivi sasa watu waliokuwa hawana ngozi nyeusi wanapiga shindano rangi zao zifanane na rangi ya ngozi ya mwafrika
Hili uliloliuliza tizama na ulichoandika hapa chini.
Hao wanaojichubua akili zao kama wewe hawajui umuhimu na uzuri ngozi nyeusi

Miaka ya nyuma mtu alikuwa akiwa na midomo mipana alikuwa akionekana mbaya,hivi sasa wazungu na watu wengine wanatengeneza midomo yao ifanane na ya kiafrika.
Warabu na wahindi weupe, mbona hawapigi sindano kuwa na midomo mikubwa? Nicki minaj ni black lakini kajipiga sindano za matako na maziwa apo vipi? Aliekwambia viungo hivi ulivovitaja ni matokeo ya rangi ni nii? Haya mambo ya misosi, kuna mademu hapa hapa bongo wanajidunga vya mchina na wao ni black tatizo nini? Ukijibu basi pia utapa jibu la hao wazungu.

Miaka ya nyuma mwanamke alikuwa akiwa na matako alikuwa anaonekana mbaya hivi sasa wanawake wengi wa ulaya na sehemu nyingine duniani wanataka wawe na matako yaliyofanana na mwanamke wa kiafrika
Hili jipya leo. Mkuu unakuwa unayotolea wapi matoleo mapya kama haya? Sijawahi kusikia tangu zamani mwanamke akipondwa matako yake kama makubwa! Matako flat hayakuwahi kuwa katika fashion hata siku moja. Hata hivo, wablack wakibongo wanajidunga matako yao, Nicki minaj nae black kajidunga, sasa kama black is such a beuty na ukiwa black eti unakuwa na matako tu lazima hao wakibongo na nicki wanajidungia nini? Sijaona kundi la waarabu na wahindi wakifanya huu upuuzi! Umewacheki walatino? Al maarufu tuseme wabrasil, ambao ni mixed race hii unakuta watoto maji ya kunde na mwili umejaza natural hata black hafikii! hahhaah wewe acha masihara yako
 
Nimependa jinsi anavyothamini rangi yake,hakudiriki hata kubadilisha rangi ya makalio...hongera dada. Wadada wa humu mjifunze.
 
kaka sioni uzuri wao......
Si lazima awe mzuri machoni mwako, inawezekana demu akiwa mzuri kama hao huwa ushakata tamaa kuwa si class yako kwahivo una feed your brain kuamini kuwa hawana uzuri. We nikuulize tu Uzuri wa vanessa uko wap? Kwanza umetizama shingo yake vizuri kama nlivokwambia? Apewe shushu ajisugue vizuri. Mimi nimekutumia pic za hao mademu uwe skin color tone ilivokuwa perfect, mwenzetu Vanessa ni kama vile kuna sehemu hasugui akioga!! Hebu nambie uzuri wa black vanessa, Kifua mpaka kiwe pushed na matako mpaka abenue!

Halafu watafute wa ethiopian uone watoto walivo wakali!
 
chabuso nakuletea wa kutoka africa moja kwa moja ujionee tone ilivo safi. Ona miili ya kujieka wazi inavotakiwa iwe. Sio huyu wetu rangi ilokosa mashirikiano
 

Attachments

  • black woman.jpg
    14.1 KB · Views: 75
  • african-woman.jpg
    54.7 KB · Views: 161
  • ChawyNcVEAAUFuV.jpg
    39.6 KB · Views: 88
Watu mna beef na vanesaa nn syo kwa kumwndama ivo cash madam
 
kumbe kana hips na maziwa vya kutosha tu! na bonge la color, kuanzia leo naanza kumshabikia
 

Kaka jaribu kufanya utafiti kabla hujaandika,warabu na wahindi walio weupe ni wachache sana,wengi wao ni weusi,wengi wanatumia mkorogo wawe weupe,wahindi ndio wanaoongoza duniani kwa kujichubua


 
U
Kaka jaribu kufanya utafiti kabla hujaandika,warabu na wahindi walio weupe ni wachache sana,wengi wao ni weusi,wengi wanatumia mkorogo wawe weupe,wahindi ndio wanaoongoza duniani kwa kujichubua


ulishatoka nje ya tanzania lakini? ukenda kama Oman, dubai, Abu dhabi n.k? Au ulifikiri waarabu ni wasudan tu na wasomali?


Usimsahau michael jackson katika hili
 
U

ulishatoka nje ya tanzania lakini? ukenda kama Oman, dubai, Abu dhabi n.k? Au ulifikiri waarabu ni wasudan tu na wasomali?


Usimsahau michael jackson katika hili
kaka mimi wasudani siwahesabu kama warabu,warabu wenye rangi ya ngozi nyeupe ni warabu wa Afrika kaskazini yaani wamoroko,watunisia ....etc.hizo nchi ulizozitaja ni nchi zenye waraabu wenye rangi ya kufifia au kwa ufupi nyeusi....fanya utafiti kabla hujaandika usichokijua siku hizi ukenda kwenye google utapata kila kitu

usini quote tena,unairudisha IQ yangu nyuma

Michael Jackson

'

Omani ArabView attachment 497832
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…