Vanessa Mdee (Vee Money) aachia Niroge

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja.

Audio imetengeneza na Nahreal
Video imepikwa na Justine Campos


Enjoy!
 
Iko poa video nzuri japo u-queen B mwingi

Ila sidhani kama itakaa kwenye chat muda mrefu,ni zile dizaini za bubble gum music
 
Wimbo mkali... Nyimbo za wananchi halafu imepigwa kideo cha kimataifa... Sijui nani kamshauri kufanya huu mchanganyiko Vanessa maana anaua ndege wawili kwa jiwe moja na atafaulu sana.... Trend mpya imeingia Mbibo ajipange.
 
HII NYIMBO NI NZURI NIMEIKUBALI..YAANI UKICHUKUA NYIMBO ZOTE ZA WABANA PUA DIAMOND NA ALI KIBA HAZIFIKII HATA ROBO HAPA
 
Kama Beyonce. Lakini nafikiri hawa Bongo Fleva wengi hawana watu wa kuwaandikia nyimbo.
 
Nyimbo kali kibibi (jide) kijipange la sivyo kitahadhirishwa na vitoto.
 
Wimbo mkali ni ule unaimba,"kamata chini ooh kamatia chini oooh kamata chini ooh kamatia chini......"


maana naona hadi vitoto vya miaka 3 vinaimba huu mziki
nimecheka mpaka basi mwanangu wa miaka 4 anaupenda kishenzi ss anavyocheza ni shida
Wimbo mkali ni ule unaimba,"kamata chini ooh kamatia chini oooh kamata chini ooh kamatia chini......"


maana naona hadi vitoto vya miaka 3 vinaimba huu mziki
 
Habali ya mjini ni ndindii ndindii hao wengine ni waigizaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…