Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo mkali ni ule unaimba,"kamata chini ooh kamatia chini oooh kamata chini ooh kamatia chini......"
maana naona hadi vitoto vya miaka 3 vinaimba huu mziki
afanye kazi na producer mwingine kama maneck, mika mwamba au lamar atatisha , ila v money yuko poa kimuzikivideo ni nzuri ila wimbo sio mzurii ..inabidi awe mbunifuu maana naona ni Yale yalee tuu..aje kiviknginee tenaa hapo atabamba
ila nyimbo ni nzuri ila kama ameiga beat za radio na weasel wa UGKamata chini(kule),eee kamatia chini,kamata chini kamatia chini...
avatar yakoNyimbo kali kibibi (jide) kijipange la sivyo kitahadhirishwa na vitoto.
JIDE NYIMBO anazoimba kwa kushirikiana na wengine zinakuwa kali saana , angalia , forever, alikufa kwa ngoma, nasinigwe( ngoni wa Uganda , hii ni the best) , jide na mr blue etc, afanye remix hizo ngoma na kutoa video kaliNimemtaja kutokana na muziki wake, lakini sijamuingiza kama unavyosema.
Nahisi Mariah ndio kakopiNimeangalia hiyo video then nikaangalia na video ya wimbo wa good good wa Mariah Carey, mauthui yanafana takriban 85%
Sijui kaiga makusudi au imetokea bahati mbaya, anajua yeye!
Una mtoto?..hiyuuuuuunimecheka mpaka basi mwanangu wa miaka 4 anaupenda kishenzi ss anavyocheza ni shida
ndioUna mtoto?..hiyuuuuuu