Vanessa Mdee (Vee Money) aachia Niroge

Vanessa Mdee (Vee Money) aachia Niroge

Wimbo mkali ni ule unaimba,"kamata chini ooh kamatia chini oooh kamata chini ooh kamatia chini......"


maana naona hadi vitoto vya miaka 3 vinaimba huu mziki

huyo jamaa kiboko hiyo nyimbo inachezwajee mitaani huku,nzuri balaaa
 
Anakaa uchi sana, yaani Jux anatuzidi watazamaji vitu vichache sana tusivyoviona otherwise mwili wake ni mali ya umma.
 
I can't give her my props now until I watch that video.But I really dig her songs because she gives me American flavors I need.I love Vee Money's voice, just incredible one.
 
video ni nzuri ila wimbo sio mzurii ..inabidi awe mbunifuu maana naona ni Yale yalee tuu..aje kiviknginee tenaa hapo atabamba
afanye kazi na producer mwingine kama maneck, mika mwamba au lamar atatisha , ila v money yuko poa kimuziki
 
Nimemtaja kutokana na muziki wake, lakini sijamuingiza kama unavyosema.
JIDE NYIMBO anazoimba kwa kushirikiana na wengine zinakuwa kali saana , angalia , forever, alikufa kwa ngoma, nasinigwe( ngoni wa Uganda , hii ni the best) , jide na mr blue etc, afanye remix hizo ngoma na kutoa video kali
 
Nimeangalia hiyo video then nikaangalia na video ya wimbo wa good good wa Mariah Carey, mauthui yanafana takriban 85%

Sijui kaiga makusudi au imetokea bahati mbaya, anajua yeye!
 
Nimeangalia hiyo video then nikaangalia na video ya wimbo wa good good wa Mariah Carey, mauthui yanafana takriban 85%

Sijui kaiga makusudi au imetokea bahati mbaya, anajua yeye!
Nahisi Mariah ndio kakopi
 
Wadada hawa wanakuwaga kama vikatuni kwenye video zao.....
Beat vinanda vile vile si bora wawe wanabadilisha producers
Video ndo kila Mtz anafanya na huyo Campos
 
Back
Top Bottom