Vanessa Mdee vs Jokate Mwegelo

Vanessa Mdee vs Jokate Mwegelo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
They are both smart, classic, intelligent, talented, educated and they both have natural beauty.

Frankly speaking those chicks are cute but there is something ambacho mmoja kamzidi mwenzie je wewe unadhani ni kipi?
 
Huyo Jokate anatisha anazidiwa tu na manzi wangu.
 
jokate hakuna kitu pale yaani daimond domo kapiga pale.....vanessa mdee ni classic alimtolea nje ommy dimpoz
 
Wote ni hatareee ila Jokate yuko juu zaidi sema kumegwa na Almasi hapo ndo kaniangusha
 
I just copied and Paste from Millard Ayyo Blog. No need to be a New Post coz it sound like Unprooved. OBAMA KAMFOLLOW VANESSA MDEE TWITTER. Hii itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika kuwa followed na Rais Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae ana zaidi ya followers milioni 40 lakini yeye anafollow watu laki sita. Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya watu laki sita ambao Rais Barrack Obama ana wa-follow sasa hivi ambapo baada ya Rais huyu kufollow, kwa furaha Vanessa alishare kwenye instagram screenshot ya ukurasa wake wa twitter ukionyesha Barack Obama ameanza kum-follow. Kama ilivyo twitter, hii inamaanisha ana Vanessa ana uwezo wa kumuandikia msg binafsi kwenye inbox Rais Obama.
 
Yule nae anapenda black beauty,ngoja mchele aone shauri zake
 
Hapa mnashindanisha ugawaji papuchi,kipaji,kudate na mtu au umbo? Mnijuze nami nichangie.
 
vanessa-mdee-m-600x600.jpg
Jokate-375x400.png
photo1.jpg
VanessaMdee.jpg
 
jokate hakuna kitu pale yaani daimond domo kapiga pale.....vanessa mdee ni classic alimtolea nje ommy dimpoz

alimtolea nje dimpioz akampa ndani millard ayo

sasa ndio kafanya nini??
 
Back
Top Bottom