Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They are both smart,classic,intelligent,talented,educated and they both have natural beauty... Frankly speaking those chicks are cute but there is something ambacho mmoja kamzidi mwenzie je wewe unadhani ni kipi???...
Si nackia bob junior ndo anakula mdee sasa iv,full kumponda mke wake,dah jamaa kwel hamnazo
Sound good. May god bless them.
jokate amemzidi vanesa kwa umbo la kuvutia, umbo la vanessa limekaa kikomavu mno na wala halina ushirikiano na nguo.
Kiukweli Jokate alijishushia hadhi alipoingia kwenye kumgombea Diamond na mwendawazimu Wema Sepetu,yaani heshima yake ilishuka kwa kasi mnoo,watu walivyokuwa wanamchukulia (nikiwemo mimi) ni tofauti na anayoyafanya.Vanessa bado ni Classic sijasikia akidate na wahuni,kama anadate na Millard Ayo nawaombea waoane kabisa maana ndo type yake,AYO ni goodboy hilo halina ubishi

Mileage za K zinatofautiana..
Vanessa anajua kiingereza tu it doesnt mean yuko educated kiivyo hata wema pia mbona kasoma secindary... ni form four leaver mwenye certificate ya law huko nairobi... jojo is educated maana atleast ana degree
I just copied and Paste from Millard Ayyo Blog. No need to be a New Post coz it sound like Unprooved. OBAMA KAMFOLLOW VANESSA MDEE TWITTER. Hii itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika kuwa followed na Rais Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae ana zaidi ya followers milioni 40 lakini yeye anafollow watu laki sita. Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya watu laki sita ambao Rais Barrack Obama ana wa-follow sasa hivi ambapo baada ya Rais huyu kufollow, kwa furaha Vanessa alishare kwenye instagram screenshot ya ukurasa wake wa twitter ukionyesha Barack Obama ameanza kum-follow. Kama ilivyo twitter, hii inamaanisha ana Vanessa ana uwezo wa kumuandikia msg binafsi kwenye inbox Rais Obama.