Vanessa Mdee vs Jokate Mwegelo

wote wako poa, kila mtu hapo ana mazuri yake na mabaya yake!
ki ujumla wako poa saana! me nawakubali.
 
They are both smart,classic,intelligent,talented,educated and they both have natural beauty... Frankly speaking those chicks are cute but there is something ambacho mmoja kamzidi mwenzie je wewe unadhani ni kipi???...

Mileage za K zinatofautiana..
 
Nampenda Mdee...ana personality; Jokate siwezi sema maana sijamuona akiongea zaidi ya interview alofanyiwa na kina Shigongo; iso na kichwa wala mguu...hakuwa anajibu maswali anayeyusha hiyo imenifanya ni doubt uelewa wake ukizingatia alienda mwenyewe kuhojiwa.
 
Si nackia bob junior ndo anakula mdee sasa iv,full kumponda mke wake,dah jamaa kwel hamnazo
 
Si nackia bob junior ndo anakula mdee sasa iv,full kumponda mke wake,dah jamaa kwel hamnazo

nI NGUMU SANA KUMSHAURI BINTI YAKO KUWA AKIJIHESHIMU ANAKUWA MALKIA ILA AKIITEMEBEZA ANAKUWA MTWANA.
 
Kiukweli Jokate alijishushia hadhi alipoingia kwenye kumgombea Diamond na mwendawazimu Wema Sepetu,yaani heshima yake ilishuka kwa kasi mnoo,watu walivyokuwa wanamchukulia (nikiwemo mimi) ni tofauti na anayoyafanya.Vanessa bado ni Classic sijasikia akidate na wahuni,kama anadate na Millard Ayo nawaombea waoane kabisa maana ndo type yake,AYO ni goodboy hilo halina ubishi
 
Yeah ni kweli kumgombea domo kulimshushia sana hadhi mbaya zaidi hawa ku dumu sana
 
jokate hawez kumkuta v money hata robo kwan ata IQ vanessa yuko vizur kushinda huyo jokate huwa hajui kujieleza, nampenda sana v money, namwona mbali sana asipobadilika, keep it up vanessa
 
Vanessa anajua kiingereza tu it doesnt mean yuko educated kiivyo hata wema pia mbona kasoma secindary... ni form four leaver mwenye certificate ya law huko nairobi... jojo is educated maana atleast ana degree
 
Vanesa kakomaa na kiuno chake kigumu (hii boys wanapenda sana kuisema kwenye sosho media) teh.. jojo ni mlaini japo wote wana vidoti
 
me nilijua vannesa anadate na osse sinare.. kumbe yupo na millard...

halafu hyo username yako..
 
Vanessa anajua kiingereza tu it doesnt mean yuko educated kiivyo hata wema pia mbona kasoma secindary... ni form four leaver mwenye certificate ya law huko nairobi... jojo is educated maana atleast ana degree

Mmh siku izi mtu ukigonga english unaambiwa una IQ kubwa akina sie kantupen tunaambiwa hamnazo, watuache bhana na umbea wetu na umburula wetu IQ bongk
 
Vanessa anajua kiingereza tu it doesnt mean yuko educated kiivyo hata wema pia mbona kasoma secindary... ni form four leaver mwenye certificate ya law huko nairobi... jojo is educated maana atleast ana degree

Jokate ana masters now
 
Hv nyinyi mnaosema ooh kawaga sana..naomba orodha ya jokate na vee money pia.mnajua huyo vanesa kasoma mpaka level gan?? Naomba mkimalza hayo jrnganshen na ny wenyewe. .kumdate diamond kwa jokate isiwe issue, hata nyinyi wenywe mlshadate wTu ambao watu wengne walkucheka pia wakakuona unadate ktuko. All in all nawapenda wote coz s watu wa kumake headlines mbaya...I love vidot girls
 
Je ni VERIFIED TWITTER ACCOUNT YA OBAMA AMA Magumashi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…