alimtolea nje dimpioz akampa ndani millard ayo
sasa ndio kafanya nini??
jokate hawez kumkuta v money hata robo kwan ata IQ vanessa yuko vizur kushinda huyo jokate huwa hajui kujieleza, nampenda sana v money, namwona mbali sana asipobadilika, keep it up vanessa
Hv nyinyi mnaosema ooh kawaga sana..naomba orodha ya jokate na vee money pia.mnajua huyo vanesa kasoma mpaka level gan?? Naomba mkimalza hayo jrnganshen na ny wenyewe. .kumdate diamond kwa jokate isiwe issue, hata nyinyi wenywe mlshadate wTu ambao watu wengne walkucheka pia wakakuona unadate ktuko. All in all nawapenda wote coz s watu wa kumake headlines mbaya...I love vidot girls
Ulisha kutana na Jokate au una mihemko. Au kwasababu Vanessa ana ongea kizungu.Kila mwanadamu ana tofauti na mwenzie.
Nina wasi wasi na elimu yake maana kichwani zero, kakihojiwa kana hangaika ako kama kanataka kuzaa
jokate amemzidi vanesa kwa umbo la kuvutia, umbo la vanessa limekaa kikomavu mno na wala halina ushirikiano na nguo.
Nawashangaa mnaotumia vyeti kupima uelewa wa mtu...hivi yule alokuwa mmiliki wa facebook ana degree ngapi?
kuna mtoto wa darasa la saba anaweza kukujibia maswali kuliko mwanafunzi wa master...sasa mnaosema Mdee hana akili kisa hana degree are you serious?
Mfano nilimsikiliza penny anahojiwa i was amazed alivyosema aliona kuendelea na A level ni a waste of time kwani alishachungulia madesa ya wenzake waliokuwa huko A level akaona hakuna jipya...unaweza ukawa na vyeti hata 100 lakini kichwani hakuna kitu...
kwangu wote wazuri tu wote si wana mbunye navizia mmoja kati yao nikimpata ...
jokate hakuna kitu pale yaani daimond domo kapiga pale.....vanessa mdee ni classic alimtolea nje ommy dimpoz
Jokate upstairs (kichwani) yupo vizur. Alipomaliza UDSM alikuwa na perfomance ya ukweli. Vanessa ana safar ndefu kumkuta Jokate