"Mchaga na Mparee, mchungu na hela ndo jadi you cant separate" - Joh Makini, Dont BotherEeeh unasema...???
Unataka tuongelee maembe au ngedere" hayo mambo mjini hamnaSababu ipo hapa tutasoma tu hakuna namna ila mmbadilike
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]"Mchaga na Mparee, mchungu na hela ndo jadi you cant separate" - Joh Makini, Dont Bother
Kajibu vizuri kabisa mapenzi hayanogi kama hakuna pesa,pia nimependa hapo DIAMOND au kiba kajibu vizuri sana kuliko sana yenyewe wewe mwenyewe msanii wa muziki kama wao halafu useme mimi DIAMOND/KIBA ni ujinga.
DuuuuuHata mimi ningechagua pesa.
Hakuna namna ambayo naweza ishi bila pesa tofauti na mapenzi.
Hilo nalo nenokwani wewe ungemshauri dada yako apende mapenzi au pesa?
Ataamua mwenyewe hili la Pesa sio baya ila hata madada poa pia ndio formula yao hawana mapenzi kabisa wale, labda tuliweke hivi kila jambo lina wakati wake kuna wanao sema Business and pleasure.kwani wewe ungemshauri dada yako apende mapenzi au pesa?
njoo home unieleweshe shost sijaelewaJux mwenyewe hapendeki, ukimpenda unaishia kwenye Magereza ya China
kwendraaaaaaaaaaa mapenzi ndio nn we mpareKajibu vema kuhusu Kiba na Diamond, lakini ukishakuta mtu anatoa excuse kuhusu mapenzi huyo tayari ana tatizo
kale kajamaa huwa sikaelewagi sijui mlevi ama anatafuna ngadahuyu Sam Misago ndie anapost yale maswali ya kipumbavu Facebook ya EATV, maana ana maswali ya kijinga kweli
wacha maneno ha yo hakunabinadam mbayAngekuwa mzur huyu demu tungekoma
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji37]Ndoto za watoto wa kota utazijua tu.
[emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji385] [emoji384]Eeeh unasema...???
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Unataka tuongelee maembe au ngedere" hayo mambo mjini hamna
hakuna mapenzi teeena ni pesa tuAtaamua mwenyewe hili la Pesa sio baya ila hata madada poa pia ndio formula yao hawana mapenzi kabisa wale, labda tuliweke hivi kila jambo lina wakati wake kuna wanao sema Business and pleasure.
wadada hawawezi kufanya maamuzi mazuri hasa baada ya kutoka kwenye uangalizi wa wazazi, wanahitaji ushauriAtaamua mwenyewe hili la Pesa sio baya ila hata madada poa pia ndio formula yao hawana mapenzi kabisa wale, labda tuliweke hivi kila jambo lina wakati wake kuna wanao sema Business and pleasure.