Vanessa MDEE Yuko Kipesa Zaidi na Sio Mapenzi!

Vanessa MDEE Yuko Kipesa Zaidi na Sio Mapenzi!

Kajibu vizuri kabisa mapenzi hayanogi kama hakuna pesa,pia nimependa hapo DIAMOND au kiba kajibu vizuri sana kuliko sana yenyewe wewe mwenyewe msanii wa muziki kama wao halafu useme mimi DIAMOND/KIBA ni ujinga.

True, ila baadhi ya presenters ni wapuuzi sana haswa hawa wa EARadio na TV, mtu anahoji kwanini kuna kutokuelewana Kati ya wasanii na muda huohuo anakuwa anauliza maswali ya kuwafanya watu wachague mmoja katiyao... Ukicheki hta mkasi, salama anaugonjwa huo..
 
kwani wewe ungemshauri dada yako apende mapenzi au pesa?
Ataamua mwenyewe hili la Pesa sio baya ila hata madada poa pia ndio formula yao hawana mapenzi kabisa wale, labda tuliweke hivi kila jambo lina wakati wake kuna wanao sema Business and pleasure.
 
Ataamua mwenyewe hili la Pesa sio baya ila hata madada poa pia ndio formula yao hawana mapenzi kabisa wale, labda tuliweke hivi kila jambo lina wakati wake kuna wanao sema Business and pleasure.
hakuna mapenzi teeena ni pesa tu
 
Ataamua mwenyewe hili la Pesa sio baya ila hata madada poa pia ndio formula yao hawana mapenzi kabisa wale, labda tuliweke hivi kila jambo lina wakati wake kuna wanao sema Business and pleasure.
wadada hawawezi kufanya maamuzi mazuri hasa baada ya kutoka kwenye uangalizi wa wazazi, wanahitaji ushauri
kumshauri mtu afuate mapenzi ni kumpotosha, kwa kuwa hayo mapenzi yapo wapi? ataishia kuwaamini wanaume na kuachiwa majuto..

na kufuata pesa haimanishi unaenda kujiuza kama unavyodhani, inamaanisha kuchagua mwanaume ambaye anajiweza na pia ana,vision ya maisha, na attitude ya mtu matured, sio mambo ya kwenye tamthiliya za Indo China unayaleta Tanzania
 
Back
Top Bottom