Vanessa MDEE Yuko Kipesa Zaidi na Sio Mapenzi!

Vanessa MDEE Yuko Kipesa Zaidi na Sio Mapenzi!

Hivi kuna mtu anayependa mapenzi kuliko pesa? Isitoshe alichosema si kwamba kwenye mapenzi anafuata pesa bali pesa mbele, mapenzi baadae... ni sawa uulizwe "kazi au mapenzi?" sasa kama jibu lako ni mapenzi basi itabidi ukapimwe akili!
 
Ni wanafiki tu ndiyo huwaga wanasema pesa si chochote si lolote
 
Huyu dada nilishawahi kuota ndoto seriously eti nipo kufunga nae ndoa...! nlishangaa sana, na hyo ilikuja maana kama siku mbili nyuma nlitoka kubishana na washkaji waliosifia wimbo wa never ever, mi nliuponda sana na nakamponda sana mpka yeye mwenyewe, daaah
Acha kulala mchana, kuepuka ndoto ngekewa kama hiyo
 
Back
Top Bottom