Vanessa na kiki za ujauzito

Vanessa na kiki za ujauzito

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
896
Reaction score
1,435
Msanii Mimi Mars amefunguka sababu ya Vanessa Mdee kuzushiwa kuwa ni mjamzito.

Muimbaji huyo ambaye ni ndugu na Vanessa Mdee ameiambia Funiko Base ya Radio Five kuwa ulaji wa Vanessa ni miongoni mwa vitu vilivyopelea watu kuhisi hivyo.

“Hapana haiwezi kutokea, namuona kila siku ni kwamba anakula sana, mahaba ni mengi kwa hiyo wanafurahia lakini hakuna kabisa (mimba),” amesema Mimi Mars.

Vanessa Mdee yupo katika mahusiano na muimbaji mwenzie, Jux.

Licha ya kufanya vizuri katika muziki na kutokea familia moja, Vanessa na Mimi Mars hawajawahi kutoa wimbo wa pamoja zaidi ya kushirikishwa na ndugu yao mwingine anayefanya muziki wa Injili, Nancy Hebron katika wimbo uitwao Beautiful Jesus

itsclubmars-20180307-0001.jpg
vanessamdee-20180307-0001.jpg
 
Vanessa kweli kaisha ziwa
Lishakuwa mgongojo wa bibi
Na hata Bado kuzaa
 
Ila wimbo wa Mim Mars ni mzuri na mwenyewe ni mzuri
Ila asiwe na maisha ya kisera hayatampendeza anapaswa kuwa mama bora kwenye familia
Aka kabinti ni wife material kabisa.....

Ngoja nijipange nikaweke ndani aisseeee,yasije kumpata ya kumpata
 
Back
Top Bottom