What's ur point? Hata Ebitoke anabaki kuwa yeye, hakuna mtu anaweza kuwa Ebitoke[emoji1][emoji1]Sema ana bahati, Vanessa anabaki kuwa yeye tu, hata akipoteaje bado hapatakuwa na mtu atakayechukua nafasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali mwanamke, sasa mwanaume atalelewa hadi lini?Ben Pol naye kashapote... Mapenzi
Ujinga flani hivi.
Hakuna kitu kama hicho,Godzilla alifanya hivo Billnass akaja na style kama ya Godzilla akamfunika baada ya Godzilla kujisahau kwenye starehe.Sema ana bahati, Vanessa anabaki kuwa yeye tu, hata akipoteaje bado hapatakuwa na mtu atakayechukua nafasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bibie alibebwa sana na clouds lakini kiuhalisia ni msanii wa kawaida sana.
Hataki kujionyesha ndo mana anadaiwa!KATIKA MAISHA YANGU SIJAWAHI KUSIKIA MFALME ANADAIWA
Miaka inasonga anazid kukomaza