Vanessa ndo anapotea kwenye Ramani ya Mziki

Vanessa ndo anapotea kwenye Ramani ya Mziki

Nitajie Hitsong za Vannesa, mi naonaga ana nyimbo za kawaida tu, hana HIT. Napozungumzia Hitsong namaanisha kama IOKOTE-Maua Sama, KIVURUGE-Nandy

Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaweza kumuelewa vee km hitsong zenyewe n sample hizoo, sasa nkuambie hao wenyewe wenye hizo hitsong ulizozitaja wanataman wafike alipo Vanessa, ila wanabaki kuchechemea njiani, "vee money on the truck eeeh" kwa sauti ya cash Madame, woyoooooooooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bibie alibebwa sana na clouds lakini kiuhalisia ni msanii wa kawaida sana.
😃 hapana mkuu, au huwa hautegi sikio vizuri.Ana uwezo mkubwa wa kuimba kucheza na live performance zake tumeziona.Sema labda hauvutiwi na anacho potray na anavyo deliver, na hapa ndio huja ule msemo kila mtu na mtuwe.Kwa mfano Zuchu anaimba vizuri lakini binafsi kama sivutiwi na sanaa yake kwa sasa huenda baadae akanigusa.Kulikuwa na Dayna Nyange ni Artist lakini binafsi sikuwa navutiwa na sanaa yake.
Vanessa kurudi kwake itategemea anarudi vipi na mipango ikoje.Muziki siku hizi bidhaa zaidi,quality na quantity tu haitoshi kuna promotion na ndani yake mbinu mbalimbali.
 
Kwenye kuimba na performance yupo vizuri
[emoji2] hapana mkuu, au huwa hautegi sikio vizuri.Ana uwezo mkubwa wa kuimba kucheza na live performance zake tumeziona.Sema labda hauvutiwi na anacho potray na anavyo deliver, na hapa ndio huja ule msemo kila mtu na mtuwe.Kwa mfano Zuchu anaimba vizuri lakini binafsi kama sivutiwi na sanaa yake kwa sasa huenda baadae akanigusa.Kulikuwa na Dayna Nyange ni Artist lakini binafsi sikuwa navutiwa na sanaa yake.
Vanessa kurudi kwake itategemea anarudi vipi na mipango ikoje.Muziki siku hizi bidhaa zaidi,quality na quantity tu haitoshi kuna promotion na ndani yake mbinu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom