[emoji2] hapana mkuu, au huwa hautegi sikio vizuri.Ana uwezo mkubwa wa kuimba kucheza na live performance zake tumeziona.Sema labda hauvutiwi na anacho potray na anavyo deliver, na hapa ndio huja ule msemo kila mtu na mtuwe.Kwa mfano Zuchu anaimba vizuri lakini binafsi kama sivutiwi na sanaa yake kwa sasa huenda baadae akanigusa.Kulikuwa na Dayna Nyange ni Artist lakini binafsi sikuwa navutiwa na sanaa yake.
Vanessa kurudi kwake itategemea anarudi vipi na mipango ikoje.Muziki siku hizi bidhaa zaidi,quality na quantity tu haitoshi kuna promotion na ndani yake mbinu mbalimbali.